Kijana mwenye degree ya kwanza ya marketing kutoka UDOM anatafuta kazi

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Amezaliwa mwaka 1988,na ndio tu kamaliza UDOM.He is a very intelligent and well focused young man.Yeyote anayemuhitaji awasiliane na mimi through JF.
 
Unaishi wapi Mkuu, kuna mpango wa kuanzisha kampuni ya distribution hapa Dar itakayo undwa na wahitimu wa Marketing hasa wa CBE, hii ni effort ya kuwafanya vijana wajitengenezee ajira zao wenyewe. Tumewapa miuondo mbinu yote lakini wao watanunua hisa na kusimamia uendeshaji wake.
 
Nimesema yeyote anayemuhitaji.Kama humuhitaji ungekaa kimya!
 
Please Sell him by disclosing his strengths and not so simple lyk that, Simply because hiz agraduate you are supposed to tell us hiz GPA and Gender which is the best strength him/her ryt nw.
 
"He is a very intelligent and well focused young man"
Naona UDOM mnachakachua degree haswaa......kwa kipimo kipi unajiita "very intelligent" utakaa sana mtaani kama haya ndiyo mawazo yako!
 
<font color="#ff0000">&quot;He is a very intelligent and well focused young man&quot;<br />
</font>Naona UDOM mnachakachua degree haswaa......kwa kipimo kipi unajiita &quot;very intelligent&quot; utakaa sana mtaani kama haya ndiyo mawazo yako!
<br />
<br />
Hapana ataajiliwa tu, kuna watu hawana hata digrii wapo maofisini bana! sembuse huyo mwenye degree.
 
Amesha sema "he is intelligent"
Kuna haja ya kuuliza gender tena?
Does 'he' STANDS FOR "a girl and boy"?
 
sijawai kufanya kazi na graduate wa UDOM, hivi wako vipi maana uhusiano wao na magamba unawaharibia sana, hivi wapo vipi?
 
We mkata kiu kwaniu kuna kuna uhusiano gani kati ya magamba na professional ya mtu??
 
most of proffessional firms, doing their things proffessional., they will never recruits politicians coz wanajua utaleta siasa kwenye responsibilities
like the way our leaders did, 50 years after indepedence nchi haina umeme hiyo ni sababu ya kuleta siasa kwenye kazi, sina uhakika but kama
ni kweli but UDOM student wanaongelewa sana vibaya maofisin, wanaonekana ndo nguzo ya magamba na waajiri wanahisi ufanisi wao ni kama magamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom