MY LOVE
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 161
- 68
Duh! hii kali, kweli kuna raha ukiwa kwako, hata kama ni chumba kimoja hakuna wakukugongea alfajiri ukadeki choo, kisa zamu yako lzm uamke saa 11 kabla mwenye nyumba haja amka.Nilishawahi kuambiwa nimepanga ndani na sio nje, dish pakuweka panalipiwa, packing ni ya kulipia.
Hapo si sawa na umefukuzwa?