Kijana kati ya miaka 18-35 anaesapoti CCM akapimwe akili

Wengi wa hawa wanaoanzisha matawi ni watoto wa vigogo tena vilaza waliopelekwa kule kiufisadi kwa kuchukua nafasi za walalahoi waliopata schoolarship.
Naunga mkono. Nilishawahi kusema hapa kuwa hakuna kijana mwenye akili timamu anayeipende CCM kwa dhati bila kufuata hama maslahi ya pesa au baba, mjomba na ndugu wengine ni viongozi ndani ya Serikali na CCM.
Inaumiza sana kuona vijana ambao wako nje ya nchi hasa Europe & USA eti wana anzisha matawi ya CCM! Hivi kweli hawa watu wana uchungu na nchi yao au ndugu zao waliowaacha nyumbani? Hawa watu wanaishi katika nchi ambazo zimeendelea, wanaona jinsi serikali zinavyoendeshwa, wanaona jinsi watu wanavyowajibisha wakifanya utumbo, wanajua jinsi nchi yetu Tanzania inavyoendeshwa na bado wanaona inafaa na wanaanzisha hata matawi kuendelea kushabikia CCM. Hawa ndo maadui wakubwa wa nchi yetu. Naweza kumsamehe kijana aliye kijijini ambaye hajui nchi ikiwa imeendelea inafananaje lakini siyo watu ambao wameshapata kuona maendeleo yanafananaje na bado hawaoni kuwa Tanzania kuna janga la taifa ambalo ni CCM.

sasa nimeamin CDM ni marufuku kupewa nchi hii kama hzi dharau na kejeli ndio zinaongoza akili zenu,mimi nipo ktk hyo miaka na naipenda ccm na ntaendelea hvyo daima chamsingi tuheshimiane ktk maamuz ye2 na sio kudharauliana hapa au mnataka kutumwagia tena tindikali ??

maamuzi yanaheshimika yanapokua sahihi kama unaona huheshimiwi na maamuzi yako basi kuna tatizo either inaweza kuwa unayafanya kwa yafuatayo;
-maslahi binafsi bila kujali ya wengi
-kuupuza ukweli wa mambo
-kufuata mkumbo
mambo hayo na mengine mengi wadau watakayochangia huonyesha kwa namna gani mawazo ya wengine ni ya kupuuzia kama ya kwako kwasababu umeyafanya kwa aidha ya hayo mambo niliyoyaorodhesha.

maamuzi yanaheshimika yanapokua sahihi kama unaona huheshimiwi na maamuzi yako basi kuna tatizo either inaweza kuwa unayafanya kwa yafuatayo;

-maslahi binafsi bila kujali ya wengi

-kuupuza ukweli wa mambo

-kufuata mkumbo

mambo hayo na mengine mengi wadau watakayochangia huonyesha kwa namna gani mawazo ya wengine ni ya kupuuzia kama ya kwako kwasababu umeyafanya kwa aidha ya hayo mambo niliyoyaorodhesha.

huna akili simply the best idiot in JF!

Mkuu demokrasia ni ushindani. Vijana wana haki ya kuunga na kujiunga na chama chochote kila. Kama vyama vingine vina taka vijana wa umri tajwa basi ni juhudi zao kuwa recruit. That is multipatism in practice.

Nadhani na huyo aliyetoa wazo chakavu akisahau kwamba nchi hii iliridhia uhuru wa demokrasia ya vyama vingi atakuwa ametangulia Mirembe kwa hiyari yake!

Niliwahi kutoa angalizo kama hilo miaka 4 iliyopita. Ni ajabu sana kuona vijana ambao ndiyo injini ya mabadiliko wanaendelea kushabikia nguo za kijani wakati huo huo wana lalamika mgao wa umeme.

Kama ulivyoanza ulikuwa sahihi,huo ni mtazamo wako,kama vile wengine wanaona ni mtazamo potofu au unafikiria kutumia makalio,nini maana ya demokrasia?
Kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru Kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia CCM inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli CCM haijaitendea haki nchi yangu Tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.

Si vijana peke yao. Mwaka jana baada ya uchaguzi Moshi njiani kurudi Dar-es-Salaam tulisimama Korogwe kuongeza mafuta. Gari ya mbele ilikuwa ya Freeman Mbowe na mimi nilikuwa gari inayofuatia.

Ukaja umati pale kutupa sapoti na alikuwepo mzee mmoja mwenye umri nakisia kuwa miaka 75 kuendelea mbele akitembea kwa taabu.

Akaelekea gari ya Freeman na mimi nikashuka kusikia anachotaka kumwambia mwenyekiti wa Chadema. Mzee huyo alisema "ninyi ndio wakombozi wetu." That is all the message he wanted to share with Freeman.

Nikamwangalia yule mzee sikummaliza. Nikasema huyu mzee amekuwepo enzi za TANU. Alikuwa kijana na amekomaa enzi za CCM. Leo anatambua kuwa CCM si mkombozi wake tena.

I carry that picture in my head all the time. Kwa hiyo si vijana peke yao. Kwa wote wale wanaoitakia mema Tanzania CCM si mkombozi wao.

Freedom is coming tomorrow,freedom is coming 2morrow

Back
Top Bottom