Kijana aliyefanikisha mengi Afrika kwa kutumia fomula za Brian Tracy na Azim Jamal

Dola 700?

Its almost a million:shocked:

ni zaidi ya 1,260,000, Tsh semina ya siku moja tu hiyo ni blah blah tu nyingi,kwa kichwa cha habari kaandika tetesi.

msidumbukie kwenye haya mambo ni kuwapa watu utajiri wa siku moja uku mkibaki mnasota na kusaga meno bora u google namna ya kupata soko .

Huu ni wizi uliojificha kwa kigezo icho kuweni makini.

fatilia mambo za 419 wanavyoliza watu ndio kama hii, mtoa mada hana biashara yoyote zaidi ya kuwakamua pesa zenu bila huruma
 
Wizi mtupu, hivi visemina ndo vinawaibia watu hela mpaka wanakufa maskini. Tatizo watanzania nao wana amini sana visemina hivi kiasi kwamba bongo zao "zimeganda kuhusu ujasiriamali". hawawezi wakafikiri wao wenyewe, hii ndo shida tuliyonao. Akina Bhakhresa na Ali Mafruki siwaonagi kwenye visemina hivi na wanapiga hela on a daily basis.
 
Mkuu hebu tupe website ya kampuni yako tuchungulie hayo mafanikio uliyoyataja, maana nimegoogle WOPEDIA limited nimeambulia patupu
 
Hamna cha kampuni wala nini. hiyo story ya danganya toto tu
 
Acheni kuibia watu jamani. Dola 500 /700? Are you kidding me? Huo ufisadi fanyeni kwa kualika watumishi wa serikali na mashirika ya umma.

Hiyo story uliotoa hapo juu haionyeshi credit uliyonayo. Tunaomba facts kama jina la kampuni yako na bidhaa /huduma unazotoa. Faida / hasara kwa miaka mitatu iliyopita. Baadhi ya wateja wako na simu za ili tuhakikishe kweli unafanya nao biashara. Washindani wako katika huduma zako. Office zako ziko wapi. Maswali ni mengi ila hayo yanatosha kwa leo.

Watanzania kuweni macho. Kama anayosema huyo jamaa ni kweli, bei yake si zaidi ya $99.
 
Hii semina ni nzuri sana.

Kila la kheri Bro vision 2020+ By all means I must congratulate you. I wish I could attend but my pocket is too young to purchase such ticket.

Hata hivyo nitakutafuta siku moja kuna jambo unishauri. Nitashkuru sana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani sio lazima uende ndo maana ikawekwa dollar 700 ili wenye nazo waende
 
Hivi unayelia lia dola 700 ni nyingi unadhani mkutano kama huo ni kwa ajili ya wapuuzi kama wewe? Hawakulengi wewe maana hata ingekuwa ni bure mtu kama wewe hutafiadika chochote na hayo maarifa kwa sababu tu you not yet ready kwa hayo maarifa. Kwa hiyo vitu kama vipo juu ya uwezo wako kaa kimya acha kupondea. Wapo ambao wanajua faida za kwenda kwenye hiyo mikutano. Advantage kubwa ni networking..
 
MlM aka network marketing detected ,sure I can bet. I feel a smell of forever living..........
 
TIKETI NI $700 sema kwa waliojisajili kwa member wa Jamii forum watalipia $500 call 0717109362 to reserve your seat

Am very shocked with your pricing strategy. Tanzania business men need such conventions to enabling them to realizing the situations they are in and how to connect with others of same likes. Its absurd and sheer ignorance that no one can afford these prices even if you called this convention in San francisco or elsewhere in Europe.
The sales force,am sure you know them, is a giants sales company and does not charge people 500 dollars for training or conventions.

I must say,its hurts to see someone from our people come back and sells a knowledge,instead of helping others below you and before we know, we all help the nation.

Out country will not be built from one successful story but many successful stories.

Penda nchi yako. In fact you could have organized it yourself and young people could attended.
 
Back
Top Bottom