Kiiza yanga bye bye!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Mashabiki wa simba wameanza kula kuku baada ya kusikia habari kwamba yule mchezaji kipenzi wa yanga aliewasumbua sana sana amechomoa kurudi yanga...si mwingine ni hamis kiiza..habari zinasema mchezaji huyo amegoma na mbaya zaidi amebadi na namba za simu kabisa na hivyo awajui watampataje

habari zinasema viongozi wa yanga wameanza kushikana vichwa ana awajui ninicha kufanya..,,kiiza ni kweli amesema hatorudsi mpaka apelekewe hela zake nusu walizoahidiana doller 15,000 kama million 20,,
msemaji mmoja ameliambia gazeti la dimba kiiza amebadilisha namba na amesema wasipompelekea hela zake walizokubaliana alipwe hatorudi na akuja tanzania kuuza sura kama wanavyofikiria washabiki ...nilikuja kutafuta maisha kilisema chanzo

""nandibade na zedaa tanzania naye tenaba kumaliliza sente zange zembambanja a""alisema kiiza ningekuwa nimekuja tanzania ndugu yangu lakini bado mpaka wanilipe hela yangu

alisema kwanza ndugu yangu sijasaini mkataba wowote na yanga na hata itc yangu hawana so wala ainiumizi kichwa hiyo natafuta timu nyingine kama viongozi waliniita kuniona nafikiri wameona mziki wangu waamue wenyewe ,,habari zaidi zinasema amekuwa akiwasiliana na mwenyekiti wa usajili majid lakini amekuwa akimdanganya anakuja anakuja mpaka leo naongea na wewe ayuko tanzania m ntaishije

kazi kwenu wanayanga mmekutana na mtoto wa mjini
 
Haya magazeti sio ya kuyaamini sana, mimi nimesikia jana redioni, mke wake alijifungua kwa operashen ndo maana alichelewa kuja.

Mimi nawatakia watani zetu vifaa vyao vyote vije ili tukiwafunga kwanye mechi ya ngao ya hisani wasilete visingizio.
 
Hata angekuwapo Kiiza,Yanga ndio ile ile iliyocheza Kagame cup, wakati Simba kuna nyongeza ya zaidi ya vifaa 6. Kiiza aje au asije, still Yanga itachezea kichapo.
 
Mashabiki wa simba wameanza kula kuku baada ya kusikia habari kwamba yule mchezaji kipenzi wa yanga aliewasumbua sana sana amechomoa kurudi yanga...si mwingine ni hamis kiiza..habari zinasema mchezaji huyo amegoma na mbaya zaidi amebadi na namba za simu kabisa na hivyo awajui watampataje

habari zinasema viongozi wa yanga wameanza kushikana vichwa ana awajui ninicha kufanya..,,kiiza ni kweli amesema hatorudsi mpaka apelekewe hela zake nusu walizoahidiana doller 15,000 kama million 20,,
msemaji mmoja ameliambia gazeti la dimba kiiza amebadilisha namba na amesema wasipompelekea hela zake walizokubaliana alipwe hatorudi na akuja tanzania kuuza sura kama wanavyofikiria washabiki ...nilikuja kutafuta maisha kilisema chanzo

""nandibade na zedaa tanzania naye tenaba kumaliliza sente zange zembambanja a""alisema kiiza ningekuwa nimekuja tanzania ndugu yangu lakini bado mpaka wanilipe hela yangu

alisema kwanza ndugu yangu sijasaini mkataba wowote na yanga na hata itc yangu hawana so wala ainiumizi kichwa hiyo natafuta timu nyingine kama viongozi waliniita kuniona nafikiri wameona mziki wangu waamue wenyewe ,,habari zaidi zinasema amekuwa akiwasiliana na mwenyekiti wa usajili majid lakini amekuwa akimdanganya anakuja anakuja mpaka leo naongea na wewe ayuko tanzania m ntaishije

kazi kwenu wanayanga mmekutana na mtoto wa mjini

Lilianzishwa la Asamoah, sasa limekuja la Kiiza
Subiri mechi za mashindano zianze ndo urudi kukumbushia hii kauli yako
 
Hata angekuwapo Kiiza,Yanga ndio ile ile iliyocheza Kagame cup, wakati Simba kuna nyongeza ya zaidi ya vifaa 6. Kiiza aje au asije, still Yanga itachezea kichapo.

Kuku wa kwetu mwenyewe manati ya nini??
Tulimfuga wenyewe kwenye Kagame, akirudi bandani kama kawa . . . . . Eti Simba imeongeza vifaa 6, na yale magalasa 13 mliyotaka yaende kwa mikopo??
 
Kiiza ni bonge la kifaa, hta kisipokuwepo mechi na simba bado yanga ipo imara, kumbuka timu husajili wachezaji zaidi ya 20, hivyo simba msubiri tu kichapo japo kwa new style, krosi itakuwa kwa gumbo yuleyule but with new style
 
Yanga ni matajiri, hawawezi kukosa 15000$ poleni sana Wanasimba kiiza ndiye atae waua ktk ngao ya hisani.
 
Back
Top Bottom