Kiingilio ni bure....

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Habari za saa hz wakubwa..
Imekuwa ni kawaida sasa kwa haya matangazo ya burudan kwenye redio au televisheni huwa wanataja mambo yao..ikifika sehemu ya gharama(kwa matangazo kadhaa siyo yote) husikika(mtangazaji wa tangazo) husema 'KIINGILIO NI BURE'...
Hivi hii lugha fasaha kwel?au mimi ndo nakosea?
MAONO YANGU : Nadhani nI sahihi kusema
'HAKUNA KIINGILIO'...
 
Back
Top Bottom