Kigwangala mbona kimya?

princedy

Member
Nov 26, 2008
50
4
wiki iliyopita tuliambiwa kuwa Mh. Kigwangala baada ya kushauriana na watu wake wa karibu angefanya maamuzi siku ya jumanne, ambayo ni jana. Mbona kimya? ameghairi? Je, kuna taarifa zozote za maamuzi yake hayo?
 
Tangu lini mwana CCM akaweza kufanya maamuzi kama alivyoahidi?
 
Kasoma majira ya nukta na alama za nyakati,angeitisha jana press conference angekosa airtime na coverage maana jana waheshimiwa(wanahabari) walikua wanaandamana ebu tumpe mda leo.
 
Ni jumanne ya mwakani kaka, ana kalender ya kichina.. stay tuned... hii ndio bongo
 
Tangu lini mwana CCM akaweza kufanya maamuzi kama alivyoahidi?
huyu jamaa anadanganyika pale anaposikia 'wabunge vijana' kama Mnyika, Zitto, Lema, Wenje, Mdee nk na kudhani kuwa naye anaweza kujiunganisha humo. Hajui kuwa yeye ni kidimbwi cha kuchezea watoto wa U-7 (chini ya miaka saba) alafu wenzie ni level ya mito, maziwa na hata bahari! Kwamba alipata ubunge baada ya watu potential kama Lucas Serilii na mizengwe kwa ndugu yetu 'Msomali'
Hana ujanja wa kuitisha press conference labda ya kumtukuza 'rais'
 
wiki iliyopita tuliambiwa kuwa Mh. Kigwangala baada ya kushauriana na watu wake wa karibu angefanya maamuzi siku ya jumanne, ambayo ni jana. Mbona kimya? ameghairi? Je, kuna taarifa zozote za maamuzi yake hayo?

THUBUTU!! Mshahara wa Udaktari haumtoshi.
 
Unasubiria meli airport???

Ha ha ha ha ha ha.. Mkuu naomba nikupe salute.. Hii ni comment ya wiki hapa JF.. Naendelea kucheka hapa.. Ila serious hayo maneno matatu yanatosha kum-describe huyo mnafiki.. Nilishasema kitambo hapa JF kwamba Hamis ni mnafiki wa kutupwa.. Mungu anazidi kuuonyesha unafiki wa huyu jamaa..
 
Back
Top Bottom