Kigoma welcomes you

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,511


Kigoma airport to attain international status
ippmedia.com/ippmedia/news/kigoma-airport-attain-international-status
Minister for Works, Transportation and Communication, Prof Makame Mbarawa said on Friday while in the region that the tender for the project would be opened later this year.

He said expansion of the airport would allow it to accommodate international flights while also opening tourist opportunities along the Lake Tanganyika West Zone.

More than Sh40bn, funds from the European Investment Bank (EIB) has been set aside for the project.
“I call upon all residents who will be compensated for relocation to immediately leave their homes after the compensation to pave way for the project implementation” Mbarawa stressed.

A statement from the ministry said the airport facelift would include construction of runway extension to 3,100 metres from current 1,800 metres to allow landing and takeoff of larger planes like Boeing 737.

He also requested Kigoma residents to avoid friction and disputes which might delay the project and be cooperative enough to airport and civil aviation authorities for smooth implementation of the project.

Speaking at the occasion, Kigoma Urban MP, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) urged fellow residents to welcome the project which will boost tourism and peoples income through expanded investments.

“We are grateful that we have the government in power that sees the importance of investment in the region” he said.
He assured Prof Mbarawa that the airport would open up the skies in the western zone as more tourists are likely to visit the famous national parks found in the region which include Gombe and Mahale.

Kigoma Civil Aviation Authority ManagerGodlove Longole requested the government to finance a security wall, a control tower, passenger’s lounge and improve fire brigade services at the airport.

PrintFriendly.com: Print web pages, create PDFs
 
Kipi kitanifanya nije Kigoma ujiji na si sehemu nyingine ?? ( yaani sifa za sehemu hiyo ni nini ziseme)
 
Kipi kitanifanya nije Kigoma ujiji na si sehemu nyingine ?? ( yaani sifa za sehemu hiyo ni nini ziseme)
11202850_1101166659904030_4740266356462008127_n.jpg


1620689_1672742002992365_2054371668538676012_n.jpg


12670819_1785315921688677_3891438173518721872_n.jpg


12932923_1101239693230060_5146936985183593067_n.jpg


e5e43115-38f1-41e1-b173-5e1ca8aa1c7b.jpg


499d73dd-dcc5-4c6a-ae7a-1134cbba9efa.jpg
 
Mbali Mbali Kigoma Hilltop Hotel

Set on a remote outcrop amongst acres of lush gardens overlooking Lake Tanganyika, Tanzania. Kigoma Hilltop Hotel is the ideal stopover point for safaris to the Western Parks.

 
Dubai iyoo
Dunia nzima inatambua vivutio vilivyopo Kigoma ila wenzetu kina 'the 254s' hawataki kuamini kuna maeneo mengi tu Tanzania yaliyo na viwango vya kimataifa ktk sekta ya utalii.

Mfano utalii wa kutumia treni TAZARA pamoja ya kuwa sio SGR lakini ipo ktk 'top ten' kama unapenda adventure za usafiri wa treni kidunia ligi moja na Trans Siberia n.k

Ningetoa wito serikali ya Tanzania ijenge reli itakayopita Serengeti National Park mpaka Musoma na Mwanza. Hawa ''Serenget Watch'' wanatuonea wivu na kufanya majungu reli isikatize Serengeti Nationaal Park maana wanajua itafanya reli hiyo kuwa kitega uchumi kikubwa ktk sekta ya usafiri wa reli na pia kama chanzo cha utalii wa kutumia reli.

Ikiwa tuna mfano hai wa Tanzania kuwa na reli ya TAZARA na barabara ya TANZAM zinazokatiza katika mbuga za wanyama Mikumi /Selous National parks miaka yote bila kuathiri wanyama-pori.

Swali kuu ni kwa nini mradi wa reli unaopita mbuga ya Serengeti serikali ya Tanzania inasikiliza maneno ya ''Serengeti Watch'', Kenya na wadau wengine wanaopaza sauti kujifanya wanajua kutunza mbuga kuliko sisi? Awamu ya Tano wafanye haraka mradi huu uanze kwa manufaa ya Tanzania.


Eco-Scan: The Serengeti Road Dispute
CitizenTv Kenya youtube

Serengeti road row

A new controversy is simmering across the border in Tanzania that could have implications for one of this county's precious jewels -- the wildebeest migration. Environmental activists are warning that a highway that is due to be built in Northern Tanzania could disrupt the migration patterns of wildlife both in the Mara and the Serengeti National Park. and as Nimrod Taabu Reports, the dispute has now been taken to the East African court of justice.

Source: NTV Kenya youtube
 
Dubai ya Afrika hiyo, by the way tuambie huyo jamaa aliyepiga picha na nyani anahusikaje kwenye hii habari? Isiwe ni kujipigia promo za kutafuta u-celebrity.
 
Back
Top Bottom