Kigogo mmoja asema Ufanyike Uchunguzi mpya na Vyombo Vya Nje wa Ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,779
145,706
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli

Kigogo ametaka vyombo Vya Uchunguzi kutoka Nje ndio vitusaidie kubaini nani alikuuwa Deo

Sabato Njema!
 
Deo alivuma kwa muda mfupi na kutoweka. Kweli kuvumacho Sana huwa hakidumu.
 
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli

Kigogo ametaka vyombo Vya Uchunguzi kutoka Nje ndio vitusaidie kubaini nani alikuuwa Deo

Sabato Njema!
Hawawezi kuumbuana wenyewe imesha hiyo.Mimi nimefika ktk jimbo alokuwa analiongoza bado wanampenda hadi mtu mzima na mtoto wameva tishet lenye jina lake,vikadi vya kuning'iniza kwenye gari na hata hospital ya wilaya mashuka yenye jina lake bado yanatumika.Nikaonana na baadhi ya wanafamilia wakanieleza utata wa kifo cha ndg yao
 
Shujaa magufuli....shujaa wa wizi wa 1.5 trilioni?
Shujaa mgawa nyumba za serikali kwa mahawara???

Kila nikimkumbaka mama yake Ben SAA nane naumia sana....ila sekunde nne baadae moyo hulipuka kwa furaha nikukumbuka ukuu na miujiza ya MUNGU wa mbinguni mwenye hukumu za haki na alivyomiamua
 
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli

Kigogo ametaka vyombo Vya Uchunguzi kutoka Nje ndio vitusaidie kubaini nani alikuuwa Deo

Sabato Njema!
Hakuna figisu yoyote katika ajali ya Deo. Tatizo la Deo sifa. Na ndio zilimuua. Mtu umepita bila kupingwa bado unachanja mawingu kufanya kampeni nakutafuta sifa. Si angetulia tu. Mnachosha rubani na chopper.

Hakuna figisu hapo na wengine waache kumsingiza Jerry eti alitoa kafara.
 
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli

Kigogo ametaka vyombo Vya Uchunguzi kutoka Nje ndio vitusaidie kubaini nani alikuuwa Deo

Sabato Njema!
Sawa nani alimuua ANZORY GWANDA?
BEN SANANE YUPO WAPI?
Nani alimpiga risasi Tundu LISU?
AKWILIN AKWILIN ALIPIGWA RISASI NA NANI???
 
Shujaa magufuli....shujaa wa wizi wa 1.5 trilioni?
Shujaa mgawa nyumba za serikali kwa mahawara???

Kila nikimkumbaka mama yake Ben SAA nane naumia sana....ila sekunde nne baadae moyo hulipuka kwa furaha nikukumbuka ukuu na miujiza ya MUNGU wa mbinguni mwenye hukumu za haki na alivyomiamua
Weka evidence Kama kaiba hizo hela Acha kuropoka kama umelewa.
 
Kigogo anatafuta kambi Mdomo uende kinywani

kishagombana na wote waliokuwa wanamsapoti na sasa wameshamtumia na kumtia kwny dustbin maana hata taarifa ndogo ndogo siku hizi anazidiwa hata na Lemutuz
 
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli

Kigogo ametaka vyombo Vya Uchunguzi kutoka Nje ndio vitusaidie kubaini nani alikuuwa Deo

Sabato Njema!
Nawewe acha kuokoteza vijihabari Uchwara na kutuletea hapa. Kigogo tulishamsahau, halafu wewe unaona ni chanzo chako cha taarifa?
 
Shujaa magufuli....shujaa wa wizi wa 1.5 trilioni?
Shujaa mgawa nyumba za serikali kwa mahawara???

Kila nikimkumbaka mama yake Ben SAA nane naumia sana....ila sekunde nne baadae moyo hulipuka kwa furaha nikukumbuka ukuu na miujiza ya MUNGU wa mbinguni mwenye hukumu za haki na alivyomiamua
Haimzuii kuitwa hivo
 
Kwanini vyombo vya nje?. Mbona Kwa Lisu wanasema vyombo vya ndani vinaweza lakini hatoi ushirikiano?. Je hivyo vyombo vitawezaje Kwa mtu ambae ameshafariki?. Huku Kwa mtu aliehai vya ndani vimeshindwa?.

Nani atavipa kibali chakufanya uchunguzi?.
 
Shujaa magufuli....shujaa wa wizi wa 1.5 trilioni?
Shujaa mgawa nyumba za serikali kwa mahawara???

Kila nikimkumbaka mama yake Ben SAA nane naumia sana....ila sekunde nne baadae moyo hulipuka kwa furaha nikukumbuka ukuu na miujiza ya MUNGU wa mbinguni mwenye hukumu za haki na alivyomiamua
Tupe ushahidi wa Magufuli aliiba hizo trillion 1.5 na zipo wapi na tupe ushahidi wa Magufuli kweli alimuua Ben sanane
 
Balaa sana hivi nini kilitokea?? Watu kupotea mara puu principal kapotea yeye
 
Back
Top Bottom