Kigali city centre to Kanombe International Airport

Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,562
3,898
A good clip of breath taking transformation on the route from Kigali city centre to the Kanombe International airport. In a span of 12 years the highway has deliberately been transformed. It looks refreshing now.
 
Mbna hakuna maghorofa marefu kama DAR ES SALAAM?
Anyway usafi umewasaidia

~Cmb
 
Nimependa halo kawimbo
Teh teh
Kwani vijana wa Lumumba mna upeo wa kuona mbali ? Ningeshangaa utaachaje kupenda nyimbo upende hiyo transformation ya 2004-2016

Haya kesho nitakuletea producer na wewe utoe nyimbo yako ya kuwaponda ufipa
 
Mambo ya kijinga kama haya huwa yanakera!;
Mambo ya lumumba au ufipa yanahusika vipi na Mada hapa !!!?
 
Back
Top Bottom