Kifuatacho Arumeru mashariki?

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Kifuatacho arumeru mashariki?nashukuru mungu tulimaliza msiba salama salmin na sasa napenda kufaham what next? Wana jf naomba kuwasilisha hoja binafsi...
 
Kazi ipo pale,Arumeru itakuwa shughuli pevu kwa vyama vyote

Hakuna kazi yeyote!

Ni sawa na kumsukuma mlevi wa chang'aa.
Binu na njama za mafisadi tunazo mifukoni.

Hawa mafisadi ni JANGA KUBWA KWA TAIFA LETU!
Hatudanganyiki!
 
Ninaham sn na pale meru, yani silaha za cdm tutashusha zote nasie wameru hatukubali kuibiwa kura zetu tena. Ni mawe tu kwa kila sura ya gamba
 
Tatizo wachangiaji hapa si wapiga kura wa Arumeru Mashariki. Tunatamani na tunataka kuona 'sisiemu' ikipoteza jimbo hilo. Maoni yangu kwa wanamageuzi hapa JF ni tutafute nafasi tutembele jimbo la Arumeru mashariki wakati wa kampeni
 
hakuna shaka chadema arumeru wanakubalika mpaka mw/wa kijiji wala sina khofu sisi hapa arusha tumeshafanya tathmini hapo meru na kugundua magamba hawana lolote pale
 
kile kipindi cha vioja kimewadia.
tunyimbo nyimbo,
1.alambe eeeeeeeeh alambe baba alambeeeeeeeeeee
2.mageuzi yalipoanza ccm eheeee,mageuzi yalipoanza ccm matumbo joto
 
ila sasa hivi kuweni makini sana na wale wanaoteka watu na kuwaua kama kule igunga magamba ni zaidi ya maharamia wa kisomali. I hate 'em
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom