Kifo cha MCHINA 1 ni sawa na VIFO VYA WATANZANIA 1000

Kova anasema yeye na viongozi wa juu wa polisi hawajalala usiku wakifuatilia na mpaka sasa hivi watu watatu wamekamatwa kwa kuhusishwa na kifo hicho source ITV habari jana usiku.
 
Kova anasema yeye na viongozi wa juu wa polisi hawajalala usiku wakifuatilia na mpaka sasa hivi watu watatu wamekamatwa kwa kuhusishwa na kifo hicho source ITV habari jana usiku.
Huyu Kova nae anatuabisha tu! Kwamba hawajalala kwa hili la mchina tu au huwa hawalali mauwaji yakitokea? Mbaya zaidi hawa tunaojipendekeza kwao wanatujua vizuri sana jinsi tulivyo wanafiki!
 
Haya ndiyo matunda ya miaka hamsini ya uhuru wa nchi isiyokuwepo kwenye ramani ya dunia...
Mungu ibariki Tanganyika!
 
Anajipendekeza kwa sababu

1. Mkopo wa Tazara unasamehewa - unajua World Bank na IMF walikataa kuulipia

2. Mkopo nafuu wa Ujenzi wa Uwanja wa Taifa; kama wangejenga Watu wa nchi za Magharibi hapo Shilingi ingeshuka thamani haswa

3. Mkopo wa kujenga Bomba la GAS toka Mtwara hadi Dar $1 Billion with 3% Interest rate; Malipo yataanza baada ya Miaka 10 nani atakupa mkopo kama huo? Waamerika wameshituka, wakamleta Hillary Clinton na Viongozi kibao wa US Senate; SONGAS Company wanalia wanaogopa sasa wanasema wanaweza kushusha utozaji wa Umeme kwa Serikali sababu ya Mkataba huo.

Kwanini tukisikia Mchina kauwawa tusijipendekeze kama mikataba yao na sisi ni rahisi kuliko kwenda World Bank na IMF?

Siwapendi Wachina lakini Mikataba mingi ni mizuri kweli kwetu kama sisi ni Makini na kutofungua Mdomo na kuingiza Wamachinga Wengi wa Kichina kama inavyowakabili Wazambia na sasa Wakenya.
 
Kwa upande wake, mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, alisema wanawake ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama) wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa kuhusu mauaji ya marehemu.Alisema hata hivyo anaamini kuwa mauaji hayo yatakuwa chachu ya ushirikiano na juhudi za kuwasaka na kuwakamata wote walioshiriki katika kumuua mwanamke huyo, aliyekuwa chachu ya maendeleo kwa wanawake.

“Kwa niaba ya Wama tunaamini juhudi zitafanywa ili kukamatwa wahalifu waliohusika katika tukio hilo na watafikishwa mahakamani. Lakini pia tunaamini usalama utaoimarishwa ili juhudi za kueta maendeleo zisirudi nyuma,’’ alisema mama Kikwete.

Sijui akigundulika muuaji ni mwanamke itakuwaje
 
Niliwahi kusikia watu wenye vichwa vya mviringo ni "empty head".JK anacho na mkewe anacho
 
acha ushabiki wachina wanatubeba sana, wewe ungeweza nunua hata TV ya sh 120 nchi 21 ungeiona wapi
 
Nadhani wangeweza kuusambaratisha uwanja wao kwa kunfu, na kuwakatia matangazo ya TBC iwapo convoy ile isingekuwepo.
 
mazishi yamehudhuriwa na waziri wa mambo ya nje benad membe, suleiman kova, salma kikwete NI MAZISHI YA MCHINA ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA ROBA lkn watanzania wanatandikwa risasi, wanauwawa kinyama tn na hao wachina, wanakufa kwa kuvamiwa na majambazi sijaona waziri akihuzuria mazishi lbd wafe Watanzania zaid ya 1000, KWA HALI HII SIDHANI!

ukiwa ombaomba ndo ilivo.

tunabembeleza misaada ya wachina.

R.I.P mama wa Kichina.
 
zoezi la kumsaka aliyekata viungo vya albino limesimamishwa ili kulipa jeshi la polisi nguvu za kumsaka aliyemuua mchina
 
sisi tunahitilafu nadhani...mimi niko Bali Indonesia juzi wakati nimetua Denpasar airport nilishuhudi jinsi hawa watu wa Asia wanavyotudharau lakini sisi nyumbani tunawababaikia!
 
kuhudhuria mazishi si kitu kibaya ila wamekufa watanzania wangapi acha kwa kabari wale wanaopigwa nondo Mbeya mpaka mate adhuriwe ndo polisi inajikakamua!!what a shame!!!
 
Tukubali ukweli, akili ya mchina mmoja ni sawa na akili ya maprofesa 10,000 wa kitanzania. Kati ya pikipiki 10,000 ni mbili tu zimebuniwa na kutengenezwa na viwanda vya Tz the rest China. Au uwongo?!
Alaah, kumbe kuna pikipiki zilizotengenezwa na watz? Naomba nijuzwe zapatikana wapi hizo?
 
uwanja wetu,refa wetu,mashabiki wetu ila bado tunapigwa nusu uwanja kweli mchina nyoko!toyo zimetoa sana ajira.....
 
kuhudhuria mazishi si kitu kibaya ila wamekufa watanzania wangapi acha kwa kabari wale wanaopigwa nondo Mbeya mpaka mate adhuriwe ndo polisi inajikakamua!!what a shame!!!

Kumbuka hawa ni wageni na wapo kwenye nchi yetu kwa hiyo lolote litakalotekea linaleta picha mbaya kwa nchi yetu kumbaka hili si tukio la kwanza kwa wachina kuvamia na majambazi na linaleta picha mbaya kwa wawekezaji.
 
Back
Top Bottom