Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
- Thread starter
- #41
asante zitto kwa majibu yako mazuri na ya msingi,pamoja na majibu yako mazuri ila tusifunge mjadala kwa kusema habari ya Mwanahalisi ni ya uongo,cha msingi ni kwamba Mwandishi alikwenda nje baada ya kusema ulilengwa wewe,Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.
nobody knows,it might they were looking for you or not..Mwanahalisi Moto ni ule ule,wala msilegeze
otherwise R.I.P Salome mbatia