Mdau Mkuu
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 233
- 45
Wadau niaje?nimeshazoea kuckia wanawake wajawazito ndo wanahisi kichefuchefu,bt mie leo nimeamka nahisi kichefuchefu,naomba kuuliza huwa kinatokana na nini?je pia cie wanaume huwa tunakipata ama ni mie peke yangu?na pia huwa kinaambukiza na dawa yake tafadhali sana!ahsanteni wadau