kibweka u a missed

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Huyu mtaalamu wa picha yupo wapi?
Maana maafa mengi sana mwezi huu.
 
Au laptop yake imechukuliwa na mfuriko?
 
mafuriko jamani,
atakuwa kwenye kambi za walio kumbwa na mafuriko.
 
funzadume yupo usijali. kwani umekosa nini mbona naona kuna picha zake kibao hujacomment? kuna project anamalizia. mia
 
funzadume yupo usijali. kwani umekosa nini mbona naona kuna picha zake kibao hujacomment? kuna project anamalizia. mia
duh! Amalize tu na arudi,kibweka naye vp? Mlio dar mpitie kwa wahanga wa mafuliko mnaweza mkuta huko wakuu!
 
Nahisi yupo uchagani kuhesabiwa au yuko chini ya ulinzi si pono Hairuhusiwi tz
 
Back
Top Bottom