Kibuti cha dharau..............

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,637
4,521
Kuna mtu kanijia analia kapigwa kibuti na GF wake,nikamshangaa yaani kibuti tu ndio unalia mbona wako wengi tafuta mwingine maisha yaendelee,jamaa akaniambia kinachomuuma sio kuachwa ila ni vile alivyoupokea ujumbe huo.Umbea ukanishika enhee amaekuachaje ..?? Ananiambia kaletewa barua iliyoandikwa kwenye Toilet paper kisha toilet paper hiyo ikatumika kujiswafi kunako kisha ikawekwa katika bahasha ni kutumwa kwa muhusika.Nikajiuliza mh hivi vibuti ni vya aina aina kumbe...Nisaidieni wadau nivijue zaidi,wewe umeshawahi kupiga au kupigwa kibuti gani cha dharau....
 
Umenikumbusha mwaka 2008 pale nilipomfuata aliyewahi kuwa mpenzi wangu ambae alikuwa mwimbaji wa Bendi flani ya Wakongo.
Alikuwa anaimba,nikapanda stejini nikamnyang'anya Mic kisha nikamnong'oneza sikioni kuwa "Kuanzia leo Tusijuane,Sikutaki na Wala Usinifate kwani Nitakutoa nishai"
kisha nikashuka,nikaondoka zangu Nyumbani.
Nahs kile Kibuti hatokaa akisahau mpaka anakufa.
 
Wacha nikapate Lunch,mh.. alikomaje sasa.......
Naona na shoo iliharibika....
 
Umenikumbusha mwaka 2008 pale nilipomfuata aliyewahi kuwa mpenzi wangu ambae alikuwa mwimbaji wa Bendi flani ya Wakongo.
Alikuwa anaimba,nikapanda stejini nikamnyang'anya Mic kisha nikamnong'oneza sikioni kuwa "Kuanzia leo Tusijuane,Sikutaki na Wala Usinifate kwani Nitakutoa nishai"
kisha nikashuka,nikaondoka zangu Nyumbani.
Nahs kile Kibuti hatokaa akisahau mpaka anakufa.

khaaaa....!!....ila nimeipenda....
 
tukiwa sekondari kuna rafiki yetu darasani alipata rafiki kwenye shule ya wasichana jirani, wakiwa katika, mahusiano siku moja brother alipeleka zawadi ya lotion na binti akampa zawadi ya perfume. siku walipobwagana brother akamwambia ulikuwa "kipori" yaani ugly, huvutii kabisa ndio maana nilikuletea lotiona angalau upendeze lakini wapi!! na binti akamjibu wewe ulikuwa na harufu mbaya ndio maana nikakuletea perfume!!! sijui nani zaidi hapa!!
 
kuna vile vibuti mtu hapokei simu wa kujibu SMS....yaan kimya kimya
 
Nimeshakwambia usinifuatefuate nyumbani kwangu we husikii bado unakuja tu na miuaua yako hapa, haya Almasi hebu wafungulie Bobi umfukuze huyu mtu na sitaki kumuona tena hapa,hiyo alipewa mtu.................
 
Lazima alishindwa kuimba huyo.

Umenikumbusha mwaka 2008 pale nilipomfuata aliyewahi kuwa mpenzi wangu ambae alikuwa mwimbaji wa Bendi flani ya Wakongo.
Alikuwa anaimba,nikapanda stejini nikamnyang'anya Mic kisha nikamnong'oneza sikioni kuwa "Kuanzia leo Tusijuane,Sikutaki na Wala Usinifate kwani Nitakutoa nishai"
kisha nikashuka,nikaondoka zangu Nyumbani.
Nahs kile Kibuti hatokaa akisahau mpaka anakufa.
 
Daaaaaah hii kali hivi vibuti vingine bhana! Duu uku ni kuvunjiana heshima na utu!
 
Umenikumbusha mwaka 2008 pale nilipomfuata aliyewahi kuwa mpenzi wangu ambae alikuwa mwimbaji wa Bendi flani ya Wakongo.
Alikuwa anaimba,nikapanda stejini nikamnyang'anya Mic kisha nikamnong'oneza sikioni kuwa "Kuanzia leo Tusijuane,Sikutaki na Wala Usinifate kwani Nitakutoa nishai"
kisha nikashuka,nikaondoka zangu Nyumbani.
Nahs kile Kibuti hatokaa akisahau mpaka anakufa.

Mungu akulipe kadiri ya stahiki yako...
 
Back
Top Bottom