Kibonde ungekaa tumboni mwa mamayetu dk 2 zaidi angepata kifafa cha mimba kwa kweli

Status
Not open for further replies.
Guys give him a BREAK !! No one is dragged , chained and forced to tune into his slot ....

Apparently he is only giving his opinion, freedom of speech!!take it or leave it

Don't go listening to him and run here whinning and acting like a kid aliyekataliwa pipi

If u can't stand him you have a choice to listen to someone else! I for one don't tune into his program or buy Shigongo stuff either....

But again if there is a point you are trying to make try to discuss facts and not personalities...

Waliomskiliza na wao wanatoa opinion zao hapa.
Mbona kama umejazibka sana??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi mtoa hoja atuambie kama wazazi wake bado hai au bahati mbaya, pili kama mzazi wa watoto, idadi na umri wao, kwa hurka hii hatufai, hapa inaonyesha kwamba Ndugu KIBONDE IQ kubwa zaidi yake, kwa kuwa mada yake hapa tu haina mantiki yoyote kwa kuwatusi KINAMAMA
 
Guys give him a BREAK !! No one is dragged , chained and forced to tune into his slot ....

Apparently he is only giving his opinion, freedom of speech!!take it or leave it

Don't go listening to him and run here whinning and acting like a kid aliyekataliwa pipi

If u can't stand him you have a choice to listen to someone else! I for one don't tune into his program or buy Shigongo stuff either....

But again if there is a point you are trying to make try to discuss facts and not personalities...

Aaaah wee dada kumbe umesomeshwa english medium tu ukajua ung'eng'e wala hukuelimika kabsaaaaaaaaa!
Yaani hujui madhara ya mtangazaji yeyote yule kutumia radio kutoa maoni yake binafsi na kuhitimisha kama ni sawa au si sawa yeye peke yake bila kuzingatia uelewa wa wasikilizaji wake na umakini wao katika kuchambua hayo anayosema.
Leo hii tunaongelea nssf may kwa wewe na KIBONDE sio issue kwenu kutegemea na ajira zenu labda ni za mkataba tu so you dont care kwa vile miaka ikifika unaanza au unakatisha tu mkataba na kumalizana na mwajiri kila kitu.
Kwa sababu redio hio inasikilzwa na vijana wengi ambao uwezo wao wa kuchambua mambo sio mpana hivyo inafika mahali huyu bwana atasifia kila kitu kinachofanywa na serikali na taasisi zake hata wakijisaidia barabarani ili mradi apate ukuu wa wilaya tu.
Acha watu watoe maoni yao humu kupunguza makali ya propaganda hizi za redio hii kusifia kila uozo unaotolewa na serikali na taasisi zake. Na hata huyo KIBONDE hana shule wala upeo wa kuwa mchambuzi wa makala zote hizi iwe siasa, migomo, sayansi, ndoa, music, elimu, polisi you mention! labda wewe na yeye ndo mnaelewana kwa kuzuga na kiingereza kirefuu ila hio sio elimu ni lugha tu andika kichina hapa tukuone!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom