Kibonde huwezi kuwa mjuaji kila kitu

Yatupasa tumuelewe huyu ni mshereheshaji kuhakikisha kipindi kinapendwa na kupata wasikilizaji.

Ni miongoni mwa watangazaji bora wa kipindi cha JAHAZI asipokuwepo utahisi mapungufu.

Mpaka Leo MTU unajadili afya ya MTU halafu ww unajiona uko salama saana kwenye dunia yenye utitiri wa magonjwa.
 
Yataka moyo kutumia muda wako kusikiliza watu ambao maoni yao unayajua! Unatafuta stress! Kama ni public transport tumia headphone kusikiliza mziki au kama ni private car weka flush! Hutapata kile unachotaka kusikia kupitia Kibonde!
 
Kumbe kaungua...dah sasa akitumia mic hawez kuacha virus kwenye mic kweli....lkn jamaa alizingua miak kadhaa nyuma issue ya mikopo kama cjakosea.....:eek::eek::eek:
 
Muathirika huyo nadhani wadudu wananyevua ubongo hajapata dawa za kupunguza makali kwa hiyo kusema hovyo sio yeye ni wadudu wamechachamaa hana mke nani atakubali kuishi na Muathirika mke wa ndoa ni alifariki siku nyingi
Duuu, wabongo kwa kuchunguza maisha ya watu. Hatariiii!!
 
Yatupasa tumuelewe huyu ni mshereheshaji kuhakikisha kipindi kinapendwa na kupata wasikilizaji.

Ni miongoni mwa watangazaji bora wa kipindi cha JAHAZI asipokuwepo utahisi mapungufu.

Mpaka Leo MTU unajadili afya ya MTU halafu ww unajiona uko salama saana kwenye dunia yenye utitiri wa magonjwa.
Wabongo tuna matatizo
 
WaTZ bana ... Kazi kwelikweli .

Kwaiyo baada ya Jamaa kufiwa mke, ndo mmeamua kufukua makaburi, kama ambavyo muna alivyofiwa mtoto ??

Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom