Kiboko yao nani hapa?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Shirikisho la soka Ulimwenguni(FIFA) limetoa majina 55 ya wachezaji wafuatao kwa ajili ya mmoja wao kutangazwa mchezaji bora wa soka wa Dunia ha[po Januari 9,2012.Nani kiboko yao hapo? Kama wewe ni mpiga kura,nani angefaidika na kura yako? Wachezaji wenyewe ni hawa:

Goalkeepers(Makipa): Gianluigi Buffon (Italy, Juventus), Iker Casillas (Spain, Real Madrid), Manuel Neuer (Germany, Bayern Munich), Víctor Valdes (Spain, Barcelona), Edwin van der Sar (Netherlands, retired, formerly Manchester United).

Defenders(Mabeki): Eric Abidal (France, Barcelona), Dani Alves (Brazil, Barcelona), Ricardo Carvalho (Portugal, Real Madrid), Ashley Cole (England, Chelsea), Patrice Evra (France, Manchester United), Rio Ferdinand (England, Manchester United), Vincent Kompany (Belgium, Manchester City), Philipp Lahm (Germany, Bayern Munich), Lucio (Brazil, Internazionale), David Luiz (Brazil, Chelsea), Maicon (Brazil, Internazionale), Marcelo (Brazil, Real Madrid), Alessandro Nesta (Italy, AC Milan), Pepe (Portugal, Real Madrid), Gerard Piqué (Spain, Barcelona), Carles Puyol (Spain, Barcelona), Sergio Ramos (Spain, Real Madrid), Thiago Silva (Brazil, AC Milan), John Terry (England, Chelsea), Nemanja Vidic (Serbia, Manchester United).

Midfielders(Viungo): Xabi Alonso (Spain, Real Madrid), Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur), Sergio Busquets (Spain, Barcelona), Cesc Fabregas (Spain, Barcelona), Andres Iniesta (Spain, Barcelona), Kaka (Brazil, Real Madrid), Frank Lampard (England, Chelsea), Nani (Portugal, Manchester United), Mesut Ozil (Germany, Real Madrid), Andrea Pirlo (Italy, Juventus), Bastian Schweinsteiger (Germany, Bayern Munich), David Silva (Spain, Manchester City), Wesley Sneijder (Netherlands, Internazionale), Yaya Toure (Côte d'Ivoire, Manchester City), Xavi (Spain, Barcelona).

Forwards(Washambuliaji): Sergio Aguero (Argentina, Manchester City), Karim Benzema (France, Real Madrid), Edinson Cavani (Uruguay, Napoli), Didier Drogba (Côte d'Ivoire, Chelsea), Samuel Eto'o (Cameroon, Anzhi), Radamel Falcao (Colombia, Atletico Madrid), Mario Gomez (Germany, Bayern Munich), Zlatan Ibrahimovic (Sweden, AC Milan), Lionel Messi (Argentina, Barcelona), Neymar (Brazil, Santos), Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid), Wayne Rooney (England, Manchester Utd), Luis Suarez (Uruguay, Liverpool), Robin van Persie (Netherlands, Arsenal), David Villa (Spain, Barcelona).
Sponsored links
allyoubet.gif
 
Mesut Ozil.
Ila FIFA wameniangusha as usual, ina maana ligi zenye mchezaji bora wa dunia ni za Ulaya tu? Najua Neymar ameingizwa kwa kuwa ni celeb na si best!
Nahisi kuchefuka!
 
mahesabu ya haraka haraka barca nzima ipo nominated pamoja na madrid ikifuatiwa na man u duu job true true..:poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom