Kiboko cha Wabakaji Hiki

Megawatt B

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
259
69
Wenzetu huko South Africa hawataki mchezo linapokuja swala la ubakaji. Akina mama wanakuja juu na wanachotaka mbakaji asifungwe.. bali jambo moja tu nalo ni.... endelea mwenyewe

hiyo mii naikubali au ahasiwe kabisa. huwezi ukaamin hapa jirani pana baba mtu wa miaka 62 kamlawiti mvulana wa miaka 13. alimdanganya na elf 5 akamshikisha ukuta. binafsi iliniua sana japo kuwa yuko lokapu lakini naona bado haitasaidia wangetuachia tugonge njegere zake hadi mbegu zote zife.
 
Waarabu wao kwenye Sharia wanakutenganisha kichwa na kiwiliwili na kukuachia hivyo "vifaa" vyako uende navyo kuzimu.
 
hiyo mii naikubali au ahasiwe kabisa. huwezi ukaamin hapa jirani pana baba mtu wa miaka 62 kamlawiti mvulana wa miaka 13. alimdanganya na elf 5 akamshikisha ukuta. binafsi iliniua sana japo kuwa yuko lokapu lakini naona bado haitasaidia wangetuachia tugonge njegere zake hadi mbegu zote zife.
Njegere zikiisha nani atawajaza wanawake?
 
Msisahau, SA kuna za bandia legally, ndo maana wamekuwa wajanja...mmh,wenzangu bongo mtatumia nin?!Matango, ndizi au?
 
Mbona bango halinyooshi juu, inaonekana hakiamini alicho kiandika zaidi ya kufanya usanii!
 
hiyo mii naikubali au ahasiwe kabisa. huwezi ukaamin hapa jirani pana baba mtu wa miaka 62 kamlawiti mvulana wa miaka 13. alimdanganya na elf 5 akamshikisha ukuta. binafsi iliniua sana japo kuwa yuko lokapu lakini naona bado haitasaidia wangetuachia tugonge njegere zake hadi mbegu zote zife.

kudadeki,ningeua huyo babu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom