Kibarua changu nakiona live kinaota nyasi nikicheza na huyu binti

Kuna uwezekano mkuwa kwa hii story kuwa ya kutungwa. '' yes am a virgin and i wanna you to remove it'' kwa msichana bikra ni vigumu sana kutamka hii sentesi, achana na lugha ya malkia iliyosomeka kwa kutumia microscope.
 
Habari zenu wandugu

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point.kama ujuavyo hapa mjini huwezi kuishi kutumia mshara wako peke ukakutosheleza kwa mahitaji yako ya kila siku lazima uwe na dili nyingine za kukupa hela tofauti na mshahara wako ili maisha haya ya magufuli yaende sawa. Sasa mimi nina mzee wangu wa town ambaye yeye tunapigaga nae madili ya pesa tunapataga hela za kutosha tofauti na mshara kazi zetu ni za halali na tunapata hela kihalali tofauti na mshahara. Huyu mzee wangu ni master wa town a.k.a Don yupo town kitambo saana so michongo ya hela anaijua na ana jina kubwa ni very famous na ana Ma Don wenzake wana hela chafu hatari so mimi ndo ananipa madili yake tufanya na ma Don wenzake. Sasa juzi nimeomba likizo kazini ya mwezi mzima mzee wangu kanipigia cm dogo njoo nikupe dili la hela nikaenda tukakutana mahali tukawa tunapata moja moto moja baridi sasa huku michongo ya hela ikiendelea .Akanambia dogo kuna dili limekuja sema unabidi uwe unafanyia pale nyumbani kwangu kwa sababu uko likizo itakua rahisi nikamuambia sawa mzee akanambia kesho kazi inaanza uje kwangu saa 4 mpaka 4 usiku then urudi home . kesho nikaenda kwa mzee akanipa dili laptop ya kazi na bundle la kutosha nikafanya kazi kama siku 4 hivi mzee akanambia kuna binti yake anasoma German tutaenda kumchkua kesho. saa 8 uwanja wa ndege kwenda kumpkea binti.binti kawasili 3:05 alasiri mashalaaal mtoto mzuri atari. Mara binti dady miss you so much me nikaona uzungu mwingi nikawa kimya pale mwisho wa sku tukapanda gari kurudi home.mtoto akawa anshinda nyumbani pale akitaka kwenda kutembea mzee ananmbia mpeleke binti yangu "mzee ananiamini sana kisi kwamba anajua siwezi kuwa na madhara na binti yake".Basi mtoto uzungu mwingi mara ananishika shika bega mara shavu yaani full vituko mara anambia your looking so smart nikasema kimoyo moyo hii ni balaa .siku moja nikiwa niko busy nafanya kazi zangu akaja akaniita jina langu P i need to talk with you?nikamuambia am busy maybe later we will talk akasema right now not later nikaona isiwe shida nikamuambia ok just goahead "p i want to tell you this because am thou your a right person to know this.i never sleep with any men since i was born and the first day i saw you at MW.Julius Nyerere Air port i swear in my hearts your a man i will give my virginity . i was shock your a virgin? she reply to me yes am virgin and i wanna you to remove it. i told her its impossible me and you to be together like girlfriend and boyfriend and i respect your father so much and i cant lets pissed him off wen he heard that he can kill me .She reply to me "he never know that its secrete between me we will keep it secrete". i reply to her " there is no secrete between two people in this world we hide it but at the end of the day he come to discover and u putt me into the big problem just go and leave me a lone to proceeding with my i work i will thou about your request she reply to me" i depend a good answer from you ". i reply her ok worry out .kidume nikarudi nyumbani kichwa kinauma balaa nikajisemea mungu kanipa mtihani mgumu .Daah mwisho wa siku tukajikuta we are in love ts true she was a virgin and i was remove it .Sasa bala mtoto karibu kila day ana thou abt having sex tyuu kazi haziendi tena likizo inakaribia kuisha kazi bado haijaisha kutoka nataka ila nashindwa najiuliza mzee akijua natembea na binti yake itakuaje ? na mzee ananikubali na kuniamini sana .Naona niko dilema wala sijielewi binti ndo kashaniganda kama kupe?mzee akanikataa mshahara wa 2mil wenyewe hauwezi nisaidia chochote hapa town .msaada wenu unahitajika niko dilema nina vingi vya kueleza ila nimeona nitawachosha . pleas pleas i need your help
Mkuu naomba niunganishe na huyo mzee
 
Mkuu si ungeandika tu kwa kiswahili??
 
Duh! Mshahara wa 2M haukutosh kwa hapa mjini?? Nnnh !! Nyie ndio watu maguful anawataka awatumbue pamoja na huyo mzee wako
 
mimi kiukweli natafuta mwanamke yeyote tu anaependa sex for fun...
kusiwe na conditions attached mara kutumiana pesa sijui nini hell no i dont want that...
residing in dar es salaam.. most welcome...
inbox me..
 
Nimekuelewa ila hata siamin maana ni Bongo muvi na kama kwel bas haupo siriaz na maisha yako kwa sababu hujal kaz, unashindwa kudhibit hisia zako na ipo cku utalala na mke wa Don
 
Hii ni story kama story nyingine tu hicho kikiristo ulichotumia hapo ndio kimenifanya ning'amue kwamba si kweli hata kidogo.

Kwa hulka ya wanaume sisi si rahisi binti ajilengeshe na mazingira yanaruhusu halafu umwache.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom