Kibaka na mchina.

hivi unatoaga wap hv kaka au ndo jukwaa la kahawa sana nini
mkuu mi napenda sana matani na huwa siku haiishi bila vituko,napenda sana kufurahi,so sometimes nakuta idea inakuja tu ya kucreate kitu inapopata picha flani
 
nimekusoma mkuu safi lakn unatusaidia kumaliza siku kwa fulaha
 
Mkuu mi kila siku nikiingia jokes napata kitu kipya,so jokes zinamaliza stress.

kwel kabisa jokes zinaongoa mastress sana na ndo mana ninapenda kutembelea thread hii ila kaka unatisha mana ukianzaga kuvikusanya unavitoa vya ukwel ile mbaya safii lakn
 
Thanks mkuu
 
tehe kwa hiyo mcina alikopi step zoote? duh! kweli mchina noma
 
Back
Top Bottom