Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz
We, mwache mwenzio ajikinge na maambukizi mapya!Wanawake wote waliojaa punyeto ya nini?
We, mwache mwenzio ajikinge na maambukizi mapya!
Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz
sweetlady maambukizo gani mapya?
Si unajua madhara yake baadae,au ww utarika umpate mzee ambaye kitu kimoja ndio basi?
Kwanza kwanini upige punyeto,si mchezo mzuri na ili kukuthibia mimi mwenyewe nilipiga sana punyeto wakati wa balehe yangu basi balaa mtindo mmoja kwanza ukiwa na demu kujiamini kunapungua na hata ukifanikiwa kutiana nae basi mwisho bao moja,ila hayo yote huwa yanawakuta wale waliopiga nyeto kwa mda mrefu.