Khaaa! Kiuno Nje? Bado Sielewi!

Hi ni hatari kwa kizazi hiki mwokozi nitoe roho niepuke hili bala
 
wapendwa,

kumbukeni imeandikwa,

"yule atakayevumilia hadi mwisho, ndiye ATAKAYEOKOKA!!

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
 
Au ili Chain ionekane?


DSC02958.JPG



http://4.bp.blogspot.com/-FIhscii57xY/TZ2GuggmUEI/AAAAAAAAIf0/JvZyDTqvzVw/s1600/DSC02958.JPG

toooooba!
 
Mwana wa adam njoo haraka.ukichelewa tuta tembea uchi kama wanyama.

Comrade si tu kwamba atatukuta tunatembea uchi bali hata mpata mtu sote tutakuwa mikononi mwa ibirisi,itanichukua muda mrefu sana kuamini nilichikiona leo kwa lile dume lililovaa shanga sijui cheni,ilinibidi nivae miwani yangu ya kusomea ili kuhakikisha
 
Back
Top Bottom