Kesi ya Wabunge 19 wasio na chama dhidi ya CHADEMA inaendelea Mahakamani, Leo ni zamu ya Cecilia Pareso

Kesi iliyofunguliwa na Wabunge Mamluki , Wasaliti walionunuliwa , dhidi ya CHADEMA inaendelea Mahakamani , Ambapo leo ni zamu ya Msaliti wa Karatu Cecilia Pareso.

Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala Anaendelea kumsulubu huyu mama kwa kumtandika maswali magumu bila huruma yoyote , Mama wa watu anaonekana kutetemeka.

Ngoja tuendelee kusubiri.

..CDM mngeleta updates na hapa JF.

..msipozileta mnatoa mwanya kwa wenye nia mbaya kupotosha kuhusu hii kesi.

..Mkurugenzi wa habari za CDM anatakiwa kuchangamka.
 
Kibatala: hapa mahakamani Chadema inasema kuwa haijawahi kukuteua kuwa mbunge na hata kwenye kiapo chao wanapinga
Shahidi: Mh Jaji katika hali ya kawaida mtu hawezi kujiteua
Kibatala: Ni kweli au sio kweli chadema hawajakuteua kuwa mbunge
Shahidi: sifahamu

Logical conclusion hapa ni pi? Erythrocyte johnthebaptist
Sasa alienda mahakamani kufanya nini? Nionavyo hii kesi haitaisha mpaka 25 maana hawa wakitolewa bungeni pesa ya mabeberu ya democrasia.Ndio maana ndugai na mwenda walikula dili na tulia kesha pewa maelekezo sijui jaji atahukumu vipi.Tusubiri majibu ya mazungumzo desemba
 
Kurugenzi ya habari mnafeli wapi kuleta mahojiano hapa jf kama mlivyokuwa mkifanya kwenye case ya ugaidi na uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabiri Mbowe na wale makomandoo? Kimya chenu kinawapa nafasi wenye nia ovu na chama kupotosha kwenye mitandao ya kijamii
 
..CDM mngeleta updates na hapa JF.

..msipozileta mnatoa mwanya kwa wenye nia mbaya kupotosha kuhusu hii kesi.

..Mkurugenzi wa habari za CDM anatakiwa kuchangamka.
Kwenye hili CDM hawako vizuri. Wao wanawategemea watu binafsi ndio walete taarifa badala ya wao wenyewe kuweka mtu wa kuleta taarifa. Kwenye mambo ya communication hawa jamaa wako ovyo sana.

Amandla...
 
..makada wa Chadema wanapeana updates wenyewe badala ya kuuhabarisha umma.

..wakiacha hii kesi iendelee kwa kificho bila umma kujua uozo uliofanyika wanatoa nafasi kwa Jaji na System kuwakandamiza.

Cc Erythrocyte
 
Ndio maana nimesema kwenye hili wako ovyo sana. Wangetumia robo ya juhudi walizofanya kutujuza kuhusu kesi ya Mwenyekiti wao kwenye mambo mengine wangekuwa mbali. Si hii kesi peke yake. Wana kesi kibao zinazohusu wanachama wao lakini taarifa zinapatikana kwenye twitter binafsi za wanachama wao au kwa Maria! Twitter page yao imelala. Wanashangaza sana.

..exactly.

..kuna taarifa kuwa watu wao 417 walibambikiwa kesi.

..bahati mbaya hawautaarifu umma ukajua dhuluma wanayotendewa.

..juzi Mnyika kasema Tunduma peke yake kulikuwa na wanachama 80 wamebambikiwa kesi.

..nilitegemea watu hao habari zao zisambae ktk vyombo vyote vya habari ikiwemo hapa JF.

Tatizo Hawa jamaa hao kinondoni wanafeli Sana lakini mleta mada ni bingwa wa kumtukana marehemu badala ya kutupa mambo ya msingi kama hii kesi
 
Weka hapa matusi matatu tu niliyowahi kumtukana huyo Marehemu wako , kama hakuna niombe radhi haraka
 
..exactly.

..kuna taarifa kuwa watu wao 417 walibambikiwa kesi.

..bahati mbaya hawautaarifu umma ukajua dhuluma wanayotendewa.

..juzi Mnyika kasema Tunduma peke yake kulikuwa na wanachama 80 wamebambikiwa kesi.

..nilitegemea watu hao habari zao zisambae ktk vyombo vyote vya habari ikiwemo hapa JF.

Cc Erythrocyte
Sio hilo tu. Hata taarifa za wanachama wao waliojitoa kuwapigania hatuzisikii. Kuna yule mama aliyewekwa ndani baada ya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani lakini hatuambiwi anaendeleaje. Inabidi Chadema waanze kuwa celebrate foot soldiers wao. Wako wengi zaidi ya wakina Mdude. Ni vizuri wanaposhinda twitter na clubhouse lakini wanatakiwa waonekane on the ground. Bavicha na Bawacha walikuwa wanajitahidi lakini nao wamepoa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom