Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

Hiki kisa kinasikitisha aisee, haya mambo ya mapenzi yanahitaji umakini...

Yaani lazima ujivike moyo kama chuma. Kama angelivumilia na kuamua kutatua matatizo kwa staili nyingine, yule mama asingepatwa na mzuka wa kutangulia mbele ya haki kwa njia ya uovu kama ile.
Nachoweza kuona na kuendelea kujifunza ni kuwa watulivu kwenye mitihani kama hiyo ya maisha ili tuweze kufanya uamuzi sahihi.
 
I usually don't buy pleas of not guilty by reason of insanity.

You premeditate a murder and all of a sudden when you are about to face lady justice you become insane? Hell to the no. To me it doesn't cut it.

If you do the crime, you've got do the time. As simple as that.
 
mmmh ungekuwa judge tungekoma
 
Thanx brother Mtambuzi. Nimekuja tena kwa mara nyingine mimi ex detective - the listener. Wakati naanza kusoma kisa hiki katika hatua za mwanzo mwanzo akilini ikawa inanijia picha ya kuwa huyu mama atashinda kesi kwani yaonekana kweli alipata rukwa na akili - temporary insanity'. Kama zisingekuwepo barua alizoandika na kuonyesha dhamira yake ya kufanya mauaji ya watotot wake, kuna kila dalili kuwa angeweza kuwa huru. Barua hizi zinaonyesha wazi kuwa alikuwa anajua fika ni nini alikuwa anakifanya wakati anawapa sumu wanae na suala hili hasa ndo lililopelekea kumtia hatiani

Thanx again brother kwa visa hivi kwani naona narefresh kwa kazi nilizofanya miaka ya nyuma. I hope next friday utakuja na kitu kingine motomoto
 
loh kwani mimi nipoje mkuu?

Una vi attitude f'lani f'lani hivi. Sasa ukija na demeanor mbovu mbovu mahakamani kwangu halafu usifuate courtroom decorum....I will fall on you like a ton of bricks in the sentencing if found guilty.
 
ngoja nilale mimi maana siku wanawake wa kizungu wamekunyima tunda huko ...ukiingia jf ni kutafutia watu ban basi .....
ukiambiwa urudi home hutaki ...
 
ngoja nilale mimi maana siku wanawake wa kizungu wamekunyima tunda huko ...ukiingia jf ni kutafutia watu ban basi .....
ukiambiwa urudi home hutaki ...

Hivi unajua sasa hivi niko wapi? Na unajua ninaishi wapi?
 
Una vi attitude f'lani f'lani hivi. Sasa ukija na demeanor mbovu mbovu mahakamani kwangu halafu usifuate courtroom decorum....I will fall on you like a ton of bricks in the sentencing if found guilty.

You simplify issues! Contempt of court, six months!
 
Daaaah ! hakika NIMELIA! na huweziamini mpaka na donge limenishika, today is my very special day LAKINI IMENIHARIBIKIA ... kweli nimelia Mtambuzi , inasikitisha , kama mwanamke nimeguswa sana na hili, na siwezi kuweka katika akili yangu vipi hyyu Taji anavojisikia, na huyu baba yake ...hakika ni KIDONDA ambacho hakitapona maisha ! na huyu mama sijui yupo kwenye hali gani! Mungu wangu TUSWAMEH!
 
kwanza wali commute to life sentence,kisha mwalimu akamuachia after seven years,she is alive and well,yuko hapa dar maeneo ya keko.

nikicompare na hii ya lulu wa kanumba basi naona katoto kuachiwa na kenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom