Kesi mahakama ya mwanzo kinondoni

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
Wadau wanasheria, mdogo wangu ana kesi mahakama ya kinondoni na yupo nje kwa dhamana, siku za karibuni ameugua na akashindwa kuhudhuria mara mbili mahakamani na alimtuma mdhamini wake aende kutoa taarifa. leo imekuja summons ikitaka wadhamini waende na mtuhumiwa mahakamani, na summons imeandikwa kwamba dhamana itafutwa sababu mtuhumiwa hajatokea mara mbili mahakamani.

Tafadhali naomba kupata msaada kujua; Je dhamana inafutwa kwa utaratibu gani?
 
Alishapeleka sick shit?au baruwa ya dharura au ugonjwa ya daktari?
 
Back
Top Bottom