Kesi dhidi ya JK kuzuiwa kugombea Uraisi yatupwa

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Mwalimu machachari ambaye amekuwa akiisumbua tawala za CCm kuhusiana na utawala bora amejikuta kesi yake ya kumpinga JK asigombee Uraisi kwa kushindwa kuzuia ufisadi na hivyo kukiuka katiba ikitupwa nje na yeye akitakiwa kulipa gharama za kesi.

Haijafahamika mara moja kama atakata rufani mahakama ya rufani.

Hata hivyo kutokana na maoni yangu kesi hiyo haina nguvu za kisheria kutokana na ukweli ya kuwa utendaji wa Raisi kikatiba unathibitiwa na Bunge na wala siyo mahakama. Hivyo hata kama hoja za mwalimu tajwa zina "mizizi ngangari" lakini mahakama haina uwezo wa kuchunguza utendaji wa Raisi bali ni bunge tu......
 
Back
Top Bottom