Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 976
- 2,059
Ziara za mwenezi zinadhihirisha kwamba uongozi wao wa miaka yote hiyo ni wa hovyo kwa kiwango cha juu mno.
Katika nchi yenye historia pana kama yetu, na mihimili mitatu iliyogharamiwa kwa majasho na damu za walalahoi, kuja kumtegemea mwenezi wa chama kimoja kati ya 18 vilivyopo haijakaa sawa.
Kero zilipaswa kutatuliwa na sekta husika, siyo mwenezi. Yani wanaunda matatizo wenyewe na wanakuja wenyewe kuyatatua.
Mi nadhani mfumo ubadilike aisee wa kupata watu ambao ni loyal kwa taifa na sio lazima wawe affiliated na chama,naona vetting ya viongozi ikiwa seriously taken kiongozi Bora atatoka popote ,Kinachoendelea kinaaibisha taifa, kinainufaisha ccm
Mataifa yanafanya jitihada kubwa za kukwamua hali za watu wao kwa kuboresha mazingira ya kuishi na kufanyia biashara lakini sisi tunateua mtu wa kuvuruga wengine na kumpa access ya kusafisha nyota yake. We are starved of visionary leaders,
Leo Nitakuwa nasoma comments tu