Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Humps/Bumps
Why substandard in this things?
mengine kama mlima
mengine kama vyuma vya reli.magumu hayo!
mengine marefu
mengine hayana hata alama
basi ukisafiri njia nzima ni kero,na yanawaste time kweli
kama pale wami immediate after bridge kuna tuta sasa najiuliza semitraler imetoka tanga imeload cement inabidi ianze gia upya matokeo inafail na kurudi nyuma.alama za barabarani na elimu kwa watumiaji barabara(drivers,cyclist,pedestrians) ni muhimu sio kila akigongwa mzembe mmoja basi panajengwa tuta
enyi wakazi wa mijini na kando ya bararbara magari yanaua,wafundeni wanenu kuyaogopa kama watoto wa kijijini wanavyofundwa kumuogopa mnyama mkali!
Najua magufuli na pia Mfugale(Tanroad CEO) mnapita humohumo mkienda Dodoma nk
Je matuta ni suluhisho?
Nawasilisha!