KERO: RECEIPT ZA ATM BANK YA CRDB

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,046
15,392
Mimi ni Mteja wa benk hii kwa muda sasa. Na pia ni mteja wa benki nyingine nchi.

Hawa CRDB wanakera sana. Receipt zao hazioneshi maandishi kabisa. Nimezunguka ATM nyingi sana tena Za mikoa tofauti zaidi ya 10 tatizo ni lilelile.

Ikumbukwe Gharama ya Receipt ni Tsh. 1000 + kwenye kila muamala unao ufanya.

Inakera sana pale unapoprint Receipt pesa inakatwa halafu maandishi hayaonekani.

Badilikeni.
 
Back
Top Bottom