DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 296
Obama amefanikiwa kupata kura nyingi na kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani, kwangu mimi binafsi nilikuwa nampa support Obama sio kwa sababu ya rangi/asili yake ila kwa sababu ya sera zake haswa kuhusiana na mambo ya nje!
Nimekuwa nikiishi kenya kwa kipindi chote cha kampeni za Obama na kusema kweli nilichokuja kugundua ni kwamba hapa Kenya ushabiki ambao wamempatia Obama ni kwa sababu baba yake Obama alikuwa ni MJALUO aliyezaliwa huko Kogelo - Nyangóma kisumu. Hii imepelekea watu hata kutengeneza banners, Tshirts, Badges zenye maneno kama "Kenyans Obama" , "Obama son of Kogelo" na sasa hivi nahisi zinakuja zenye maneno kama "Obama Jaluo president"!!! Hizi kwa uelewa wangu ni statement za kibaguzi na zinaashiria wazi jinsi ambavyo waafrika tumekuwa na hisia na imani za kibaguzi miyoni mwetu!
Leo hii Kenya imetangaza kesho tarehe 6 Nov 2008 kuwa sikukuu ati Obama day!!! Hii imenisurprise mno ila ndo hivyo we are celebrating Obama becomeing the US president in kenya does this mean Obama is also the presodent of Kenya or??
Sina mengi ila haya ndo mambo machache kati ya yale ambayo yanaifanya Tz isite kuingia ktk hii jumuiya iliyovunjika miaka kadhaa iliyopita (EAC)!!
Naomba mawazo yenu wana JF was it right to brand Obama with all those names as if Kenyans want to prove something to the rest of the world???
thnx