johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Waziri mmoja wa Kenya amesema wameamua kuwashughulikia Vyeti Feki kama ilivyofanya Serikali ya Tanzania ila wao wataenda mbele zaidi kwa kuwafikisha mahakamani na kufungwa pamoja na kulipa fidia
Imedaiwa Wizara ya Mambo ya Ndani ndio inaongoza kwa Vyeti Feki
Credit: Citizen TV
Imedaiwa Wizara ya Mambo ya Ndani ndio inaongoza kwa Vyeti Feki
Credit: Citizen TV