Kenya yaachana na mradi wa Nairobi-Mombasa expressway kutokana na kuelemewa na madeni

kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,092
2,126
Sh300bn road project put on hold over debt

The government has suspended the construction of the Sh300 billion Nairobi-Mombasa expressway for two years over the country’s debt concerns.

It would have been Kenya’s first expressway and the largest single-contract road project.

The project, modelled to complement the Sh327 billion Standard Gauge Railway, was to be undertaken by Bechtel, a US-based private construction conglomerate.

The company won the multibillion-shilling contract in a government-to-government deal that formed part of President Uhuru Kenyatta’s discussions with President Donald Trump during his US visit last year.

PROJECT SUSPENDED

Transport Cabinet Secretary James Macharia told the Nation the Cabinet had decided to suspend the project for at least two years to allow the country’s debt levels to drop, while also prioritising other key projects.

Inashangaza kiukweli the same route inahudumiwa na SGR ambayo ni mpya kabisa, sa kulikua na ulazima gani wa SGR logically?

Anyway nchi mali yao.
 
U know what kenya...Mko kwenye mashindano na Tanzania hiyo hamuwezi ficha...mnaanzisha miradi ovyo ovyo without having proper financial model and even u culd have one but the gvt officials ni mafisadi mno...msipoangalia mnaenda kuuza hyo nchi maana akitoka uhuru anaingia Ruto ambaye naye bado atataka akusanye utajiri na marafiki zake....in ten years to come...Tanzania ndo atakuwa gate way ya biashara kwenye huu ukanda wa Africa ya mashariki
 
Eti tuko kwenye mashindano na Tanzania? 😂 😂 😂
Tangu lini kenya ikashindana na nchi LDC? Hiyo si ni dhuluma jamani!
 
Back
Top Bottom