Kenya: Wabunge kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Bungeni kila Alhamisi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1605444658204.png

Lugha ya Kiswahili itatumika kuendesha mijadala ya Bunge la Kenya kila siku ya Alhamis kwa mujibu wa Kanuni mpya zitakazopitishwa na Rais Uhuru Kenyatta leo

Tukio hilo la kipekee linatarajiwa kufanyika wakati Rais Kenyatta atakapohutubia Mkutano wa Bunge na Seneti kwa pamoja

Kanuni hizo zitajulikana kama "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa - Toleo la Tano (Tafsiri ya Kwanza)", ambazo ni matunda ya maendeleo ya juhudi za Kikosi kazi maalumu kilichoajiliwa na Bunge kwa ajili ya kutengeneza mchakato huo

Kwa muda mrefu Wabunge wa Kenya wamekuwa wakitumia Kiswahili katika shughuli zao za kila siku za Kibunge lakini walikosa vitabu vya sheria na kanuni vyenye tafsiri ya Kiswahili

Kifungu cha 7 cha Kanuni hizo kinaeleza kuwa Kiswahili itakuwa Lugha rasmi ya Jamhuri ya Kenya huku Kifungu cha 120 kinaeleza kuwa Lugha Rasmi ya Bunge itakuwa Kiswahili kikifuatiwa na Kiingereza na Lugha ya Alama ya Kenya

====

Kiswahili will be the language of debate in Parliament every Thursday in a new parliamentary rules set to be unveiled by President Uhuru Kenyatta today. The president will launch the Swahili and bilingual versions of the National Assembly Standing Orders.

The launch will be conducted in the afternoon within the main parliament buildings immediately after the President has delivers his state-of-the-nation address to the joint sitting of the National Assembly and Senate.

The unveiling of the "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa -- toleo la tano (tafsiri ya kwanza)", follows the successful development of the Swahili register by a task force purely made up of employees of parliament appointed by National Assembly Clerk Michael Sialai in February last year.

While MPs have been keen to use Kiswahili when filing business, debating and preparing reports, the parliamentary language register had not yet been developed. Now the Standing Orders have been translated and a glossary of terms duly prepared for ease of reference.

National Assembly Speaker Justin Muturi said that the use of Kiswahili rules is a step in the right direction in the promotion of the national language. "What we have done in the initial stages is to relax the rules a little bit so that members can mix Kiswahili with English when contributing," said Speaker Muturi, adding that each member will have to get the Kiswahili and bilingual versions of the House rules to enhance their ability.

The unveiling of the "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa" comes after the House adopted the third report of the Procedure and House Rules Committee on October 29, 2019.

Articles 7 and 120 of the Constitution and National Assembly Standing Order 77 and 223 leave no doubt that Kiswahili should be the language of use in the Houses of Parliament.

Article 7 provides that Kiswahili is the national and official language of the republic. Article 120 provides that the official languages of Parliament shall be Kiswahili, English and Kenyan Sign Language, and the business of parliament may be conducted in English, Kiswahili and Kenyan Sign Language.

Standing Orders
Standing Orders 77 and 223 buttress the use of Kiswahili in the House. Standing Order 77 provides that "a member who begins a speech in any of the languages provided for shall continue in the same language until the conclusion of their speech."

Article 259 (2) of the constitution provides that if there is a conflict between different language versions of this constitution, the English language version prevails.

Article 120 (2) also stipulates that in case of a conflict between different language versions of an Act of Parliament, the version signed by the President shall prevail.

The task force appointed by Mr Sialai was chaired by Mr Kipkemoi arap Kirui, the Deputy Director, Directorate of Legislative and Procedural Services.

It was tasked with working on a draft translation of the Standing Orders which was to be subjected to internal review, and later to an external (both local and regional) peer review. It was later to be validated by Kiswahili language experts and translators.

Members of the task force included Mr Salem Lorot (Legal Counsel II) Mr Benson Mwale (Clerk Assistant II), Ms Anne Shibuko (Clerk Assistant II), Mr Mwambeo Mwang'ombe (Hansard Reporter II) and Mr Mwahunga Kalama (Hansard Reporter III). They were assisted by Ms Rebecca Munyao (Secretary) and Ms Assumpta Mbugua (Office Assistant).

While many parliaments in Africa have adopted English only or French only language policies in their parliaments, others have allowed the use of several indigenous languages in addition to a foreign language.

Kenya has had a chequered history in its attempts to mainstream Kiswahili usage in governance. House rules help define the character of a parliament by describing the rights and obligations of members and identifying and assigning roles and functions to the key organs of the institution.

Source: Daily Nation
 
Hii poa, muhimu kukichangamkia Kiswahili maana ndio lugha yetu ya taifa iliyo kwenye katiba, tuendelee kutumia lugha zote mbili maana pia umahiri na weledi wetu kwenye Kingereza umewezesha nguvu kazi yetu kutambulika ukanda wote huu, tusije kulisahau hilo. Binadamu anayetumia lugha zaidi ya moja huongeza maarifa na imegunduliwa kisayansi kwamba humboresha hata kiakili na kimtazamo.

Lugha zetu za asili ziendele kutumiwa na kuenziwa, ila hizi za kigeni kama Kiswahili na Kingereza pia tuzichangamkie.
 
Hahaha na wanavyojua kujipendekeza kwenye kiswahili, iwe lugha yao halafu wakifanye official language of the house 2020 tena mara 1 kwa week? Acheni utani

Halafu Ikumbukwe muongozo wa kuendesha bunge kwa Kiswahili wameutoa Tanzania na baadhi ya kanuni zetu wamezichukua kutoka bunge letu.

Yani you always complain. Are you okay?
 
Nimeona wakenya wakisema huu ni mkakati wa kuwazuia ma MP wa kijaluo kuongeaa.

Je, ma MP wa kijaluo hawajui kiswahili au na wanajua lugha gani sana.

Majibu kwa anaejua
 
Ukitaka Tanzania wabunge wajiuzulu, tuweke utaratibu kila Alhamisi vikao vya bunge viendeshwe kwa luga ya Kiingereza.
 
Hahaha na wanavyojua kujipendekeza kwenye Kiswahili, iwe lugha yao halafu wakifanye official language of the house 2020 tena mara 1 kwa week? Acheni utani

Halafu Ikumbukwe muongozo wa kuendesha bunge kwa Kiswahili wameutoa Tanzania na baadhi ya kanuni zetu wamezichukua kutoka bunge letu.

Wakenya lazima waendelee kuiga Tanzania japo kimyakimya
 
Duh kwa hiyo Wakenya (wengi) wataelewa kinachoongewa Bungeni na Wabunge wao siku ya Alhamishi tu ? Na siku zote hizo ina maana walikuwa hawaelewi kinachozungumzwa Bungeni ?
 
Sayansi ya MK254 au Sayansi ya Nairobi university??

Wewe hujiulizi kwanini huwa mko nyuma hivyo kwenye kila kitu, ni kwa sababu mumeganda kwenye lugha moja na hata hiyo moja huwa hamjaimudu ipasavyo, angalia sana uandishi wenu wa Kiswahili, huwa na matatizo mengi sana.

Lugha zenu za asili mumeshindwa kuzitumia, wengi hata hamjui salamu kwa kutumia lugha zenu za asili, na hata lugha za kigeni kama Kiswahili kinawapa changamoto haswa kwenye uandishi, halafu Kingereza ndio kilishawakataa kuanzia kwa kajamba wa Mbagalla mpaka kwa wakuu mjengoni, kimewagomea kabisa.

Utafiti wa kisayansi umebaini namna uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja humboresha mtu kwenye ubongo https://www.washington.edu/news/201...le-languages-may-make-it-easier-to-learn-one/
 
Wewe hujiulizi kwanini huwa mko nyuma hivyo kwenye kila kitu, ni kwa sababu mumeganda kwenye lugha moja na hata hiyo moja huwa hamjaimudu ipasavyo, angalia sana uandishi wenu wa Kiswahili, huwa na matatizo mengi sana.

Lugha zenu za asili mumeshindwa kuzitumia, wengi hata hamjui salamu kwa kutumia lugha zenu za asili, na hata lugha za kigeni kama Kiswahili kinawapa changamoto haswa kwenye uandishi, halafu Kingereza ndio kilishawakataa kuanzia kwa kajamba wa Mbagalla mpaka kwa wakuu mjengoni, kimewagomea kabisa.

Utafiti wa kisayansi umebaini namna uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja humboresha mtu kwenye ubongo
https://www.washington.edu/news/201...le-languages-may-make-it-easier-to-learn-one/

Basi kwa mantiki hiyo kwamba kuongea lugha zaidi ya moja huimarisha ubongo wa mtu, basi kujua kwenu Kiswahili kibovu na English akili zenu zingekuwa bora zaidi kuliko Warusi, Waingereza, Wamarekani, Wajapani hata wachina ambao wengi huongea lugha zao (monolinguals).

Huyo aliyefanya hiyo tafiti anazo akili mbovu kama wewe na kapoteza pesa na muda wake bure.

Nchi nyingi za kiafrica wanaongea lugha za kiasili na za kigeni, Kiarabu, English, kireno, kifaransa nk, je, unataka kusema bongo zao zimeimarika kupita monolinguals???--- kama ni hivyo mbona waafrika tuko nyuma hivyo?

Siku nyingine unapoandika kitu kula kwanza ushibe ndipo uandike.
 
Basi kwa mantiki hiyo kwamba kuongea lugha zaidi ya moja huimarisha ubongo wa mtu, basi kujua kwenu Kiswahili kibovu na English akili zenu zingekuwa bora zaidi kuliko Warusi, Waingereza, Wamarekani, Wajapani hata wachina ambao wengi huongea lugha zao (monolinguals).

Huyo aliyefanya hiyo tafiti anazo akili mbovu kama wewe na kapoteza pesa na muda wake bure.

Nchi nyingi za kiafrica wanaongea lugha za kiasili na za kigeni, Kiarabu, English, kireno, kifaransa nk, je, unataka kusema bongo zao zimeimarika kupita monolinguals???--- kama ni hivyo mbona waafrika tuko nyuma hivyo???.

Siku nyingine unapoandika kitu kula kwanza ushibe ndipo uandike.

Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wamarekani wanaongea hadi lugha tano, halafu hao Warusi, Wajapani, Wachina asilimia kubwa wanajua zaidi ya hizo lugha zao za asili na wengi wao siku hizi wako mbioni kujifunza Kiingereza, dunia inazidi kuunganishwa na kingereza hivyo mtu mwenye akili anapambana ajifunze.

Nyie wazembe ndio mumeganda kwenye lugha moja na kudanganyana huko eti ndio uzalendo, japo Wabongo wenye hela na viongozi wenu wote wanapeleka watoto wao wasomee international schools, huku makajamba mumeachwa mnaambiwa uzalendo ni kuhangaika kwenye Kiswahili, halafu nafasi za kazi zinatangaza kwamba lazima anayeomba ajue kuongea/kuandika Kiswahili na Kingereza, hapo watu wa ze ze ze wengi mnaangukia pua.

Viongozi wenu wameshindwa kwenda nje ya nchi kisa lugha halafu wanaongopea eti wanabana matumizi.
 
Back
Top Bottom