Kenya tops medal standing Beijing 2015 IAAF

Jameni naomba mod msiutoroshe huu uzi kama mlivyofanya zile nyingine, ubaki hapa kwenye news maana hizi sio zile taarifa za kawaida, hili ni jambo muhimu sana kwa taifa letu tukufu. Sasa hivi tunaongoza dunia kwa medali kule Beijing. Wimbo wetu wa taifa unazidi kuwa mtamu, bendera yetu inapeperushwa kote, mashujaa wetu wanaonekana kwenye runinga zote dunia.

Mungu zidi kuibariki nchi yetu, zidi kuwapa nguvu na uvumilivu wananchi wake ili makubwa na ya ajabu yazidi kutokea kwetu.
Hapa hata Alshabaab wanajiangalilia wenyewe kwenye TV, kwamba hata kwa mabomu, hata kwa risasi, hata kwa chuki....huwezi kumkandamiza Mkenya, atazidi kuja tu hadi mwenyewe uchoke.

11879210_10208362681333034_8012847703087014326_o.jpg



11889569_10208362680373010_9178114073235813862_n.jpg



VzxjlK.gif
 
  • Thanks
Reactions: kui
..Mungu zidi kuibariki nchi yetu, zidi kuwapa nguvu na uvumilivu wananchi wake ili makubwa na ya ajabu yazidi kutokea kwetu..., kwamba hata kwa mabomu, hata kwa risasi, hata kwa chuki....huwezi kumkandamiza Mkenya, atazidi kuja tu hadi mwenyewe uchoke.

Congratulations guys!
And keep up that remarkably resilient spirit!
 
jinsi alivorusha huo mkuki unatisha. yaani jamaa anaruka kisha analand tumboni huku akitoa sauti ya kutisha bila kupenda kwake. His efforts weren't in vain coz now he's added a couple of million ksh onto his stash besides making us proud. kudos yego.
 
Hongereni waKenya, hakika Yego alinifurahisha sana.... Out of topic, hivi lile kundi la Vioja mahakamani lilikufa?

Prishaz wako bado wote..... Kama uliona mazishi ya mzee ojwang' wa vitimbi wali attend wote
 
Last edited by a moderator:
Wajua hawa wabongo ata sehemu yao ya kujadili HAMNA kitengo cha michezo. Yaani only Kenya forum has a sports forum tz ni kuongea uswahili tu na umbeya bure kazi

Naona wabongo tunakunyima usingizi eeeenhhh.
Huwezi kudiscuss mambo yenu bila kututaja:sly:
 
Kenyan athletes Koki Manunga and
Joyce Zakary have been handed
provisional bans after failing
doping tests at the world
championships, the International
Association of Athletics
Federations (IAAF) said.
What a SHAME:sly:
 
Kenyan athletes Koki Manunga and
Joyce Zakary have been handed
provisional bans after failing
doping tests at the world
championships, the International
Association of Athletics
Federations (IAAF) said.
What a SHAME:sly:

Yeah and 11 athletes ate bringing 130mn$ next week into kenya from the same event I just see revenue and profits
 
kui Hehehe! yeah babe! Baeleze hatutaki obhushenzi. Abaingwa vose.

Heheh!, MK254

Hayo mengine umeniacha lakini nimekubamba leo mupenzi :wink:
Huwezi jua though, pengine wamo wanapita kimya kimya kwenye forums za kingreza.
 
Last edited by a moderator:
Prishaz wako bado wote..... Kama uliona mazishi ya mzee ojwang' wa vitimbi wali attend wote

Asante kwa taarifa wanarusha vipindi vyao channel gani maana nilifuatilia KBC bila mafanikio!
 
Last edited by a moderator:
Heheh!, MK254

Hayo mengine umeniacha lakini nimekubamba leo mupenzi :wink:
Huwezi jua though, pengine wamo wanapita kimya kimya kwenye forums za kingreza.

Hapo kabisa mrembo kui huwa tukitaka kuwakwepa Wabongo, tunaanzisha mada za Kingereza na zenye maneno mengi, kiasi kwamba Wabongo wachache wanaohusika kama wewe ni wale tu walifaulu zaidi ya zile BRN.... wenye uwezo wa kufikiri.

Yaani omundu-khu-mundu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom