UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,540
- 7,748
Mkuu, usemayo ni kweli. Tunapita kwenye kipindi kigumu sana km taifa. Tumepoteza identity yetu as a nation, na viongozi wetu wanaona hiyo ni sawa tu.
Lakini mi siamini kama tutaendelea kubaki hivi milele. Utafika wakati tutatoka kwenye hali hii, tutajikomboa na kujitambua sisi ni nani. Vuguvugu hili linaloendelea sasa litaleta mabadiliko makubwa sana socially, economically, and politically.
Tatizo la wakenya ni kudhani kwamba tutaendelea kubaki hivi milele, na hivyo wanatafuta kila njia ku-take advantage. Tutakapojitambua na kuthamini chetu ndipo watakapokuja kujuta