DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 404
- 386
Wachambuzi wa Luninga, kipindi cha Powerbreakfast wamechambua sababu kwanini Magufuli hataki kwenda Kenya, wakati Rwanda na Uganda kaenda, wamezungumzia utayari wa watanzania katika miradi mbali mbali kwenye EAC na kuonekana kana kwamba watanzania hawako tayari.
Wameongelea kuhusu pipe la mafuta lilivyofanyiwa figisu na kutopita Kenya tena, wakaongelea ukwepaji wa Tanzania kusaini mkataba wa EPA, yote hayo ni kwenye video hii.
Wameongelea kuhusu pipe la mafuta lilivyofanyiwa figisu na kutopita Kenya tena, wakaongelea ukwepaji wa Tanzania kusaini mkataba wa EPA, yote hayo ni kwenye video hii.