Kenya na Uganda kidedea Jumiya ya afrikaashariki

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,030
2,553
Kwa mujibu wa bajeti ya nchi za jumuiya ya afrika mashariki iliyosomwa bungeni hivi karibuni kwa mwaka 2012/13 nchi za kenya ma uganda zimeonyesha kupigia hatua hasa swala la utegemezi wa wazungu, kwa mfano kenya bajeti yao inajitosheleza kwa asilimia 86% na uganda kwa asilimia 76 .
Chanzo: Gazeti la Guardian la leo
 
Hapo ni sawa kabisa,wenzetu wanaonyesha nia kwa vitendo,Je sisi Tanzania yetu! sijui itakuwa hivi mpalini?? Bila kuwang'oa hao nyinyiem sijui kama tutaukwepa huo utegemezi!
 
Serikali ya nyinyiem na viongozi wake wako makini kufuatilia mikutano ya Chadema imefanyika wapi na wao waende wakajikoshe, sasa muda wa kuandaa bajeti yenye akili wataupata wapi?

Wakati Nnauye Jr anapaza sauti kwamba bajeti imekamilika kila sekta, wabunge wa chama chao, Luhaga Mpina na Mwigulu LM Nchemba wanakiri kwamba bajeti ina mapungufu makubwa katika maeneo kadhaa.

Kama Tanzania tunawazidi rasilimali watu na maliasili nchi za Kenya na Uganda lakini wao wameweza kujitegemea kwa kiwango kikubwa kiasi hicho lakini sisi tumeshindwa, ni wazi kwamba nyinyiem imechoka, ndo maana mwenyekiti wao JK anaona raha sana kutembeza bakuli ulaya na marekani badala ya kukaa nchini atafakari namna ya kujikwamua kiuchumi.

Hatumsikii Mwai Kibaki na Kaguta Museveni wakisafiri hovyohovyo kwenda kutembeza bakuli ulaya na marekani lakini bajeti za nchi zao ni nzuri sana.
 
Dhahabu, almasi, tanzanite, rubi zinazobebwa kila kukicha ni zaidi ya hiyo so called "misaada"
 
Ndugu zangu kwenye swala la mapato kuna swala moja ambalo si zama hata kama serikali yetu imeshawai kulifiria, nimewai kufanya kazi kwenye makampuni haya ya kigeni ni kutokana na nafasi niliyokuwa nayo nilifanikiwa kujua kitu ambacho sikuamini macho yangu pale nilipoona kuwa expert wote walikuwa wanalipwa mishahara yao tofauti na ile wanaolipwa kwenye ile payrol ya pale offcn, anayelipwa sh 2,000,000 kumbe mshahara wake halisi ulikuwa ni sh 8,000,000, wakati wabongo anayelipwa sh mil 2 ndio hiyohiyo tena hapo ndio bonge la boss!! ukitaka makampuni ni tumie private
 
Hapo ni sawa kabisa,wenzetu wanaonyesha nia kwa vitendo,Je sisi Tanzania yetu! sijui itakuwa hivi mpalini?? Bila kuwang'oa hao nyinyiem sijui kama tutaukwepa huo utegemezi!

sangija ili nchi iondokane na utegemezi kwa wazungu ni lazima tuhakikishe kwamba tunaiweka kapuni nyinyiem ambayo inaendekeza sera ya kutembeza bakuli badala ya kujenga uwezo wa nchi, huku ikiwaachia wapore rasilimali zetu kwa msaada wa serikali ya nyinyiem.
Kwahiyo ili kujiletea nguvu ya kujitegemea tuamue kwa dhati kwamba nyinyiem basi.
 
Last edited by a moderator:
sangija ili nchi iondokane na utegemezi kwa wazungu ni lazima tuhakikishe kwamba tunaiweka kapuni nyinyiem ambayo inaendekeza sera ya kutembeza bakuli badala ya kujenga uwezo wa nchi, huku ikiwaachia wapore rasilimali zetu kwa msaada wa serikali ya nyinyiem.
Kwahiyo ili kujiletea nguvu ya kujitegemea tuamue kwa dhati kwamba nyinyiem basi.
Ni ukweli ulio wazi Ndg Mwita Maranya,wkt umefika wa kuunganisha nguv zetu kwa pamoja na tuseme basi inatosha!!! make tukiendelea kuwapa nafasi hawa nyinyiem,kizazi kijacho tutakosa majibu ya kuwapa wkt ss tushazeeka! migodi itabaki mashimo tupu,wanyama ndo hao wanatoroshwa live,ardhi kubwa na ya rutuba ndo wanapeana wao na watoto wao,madaraka nayo wanarithishana! je nchi hii kuna utawala wa kisultani?? si bora waweke wazi tujue moj???? jaman inauma sana tusemeni basi!!!!!! ukweli mpaka napatwa hasira hapa niandikapo!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom