Kenya jaribuni kufanya hivi kama hamja-run banana

Upuuzi tu. Mbona sisi tumekuwa tukijilipia uchaguzi kwa miaka nyingi ila hatupigi unyende kama nyie? Wacheni ushamba bwana.

You can't afford a decent meal a day, how would you ever afford other bigger expenses?

Buy food first. Nunueji Ugali na Sukuma kwanza.
 
Hizo billions za Tanzania in Kenya shillings ni sawa na kuringanisha kifo na usigizi.
Next time tafuta kitu imezidi Kenya shilling
Mmetuzidi umasikini na kutegemea misaada ya wazungu kwa kila kitu. 🚮🚮

Unasema hizo ndogo wakati ninyi hamna mpaka mnategemea huruma ya mzungu?

Na ndio maana Tanzania tunao uwezo wa kumuita mzungu beberu na bado life likaendelea

Ninyi watumwa wa mabeberu jaribuni kumuita mzungu hivyo muone kama hamjafa kwa njaa wote.
 
Ukitaka kujua mwenye wivu ni nani, angalia mwenye ameshidwa na ya kwake.

Kazi kubwa ya wabongo siku hizi imekuwa ya kushugulika na za Kenyans na hakuna mkenya yeyote ako na biashara na hilo taifa lenu la copy pasting.

Mmetuzidi umasikini na kutegemea misaada ya wazungu kwa kila kitu. 🚮🚮

Unasema hizo ndogo wakati ninyi hamna mpaka mnategemea huruma ya mzungu?

Na ndio maana Tanzania tunao uwezo wa kumuita mzungu beberu na bado life likaendelea

Ninyi watumwa wa mabeberu jaribuni kumuita mzungu hivyo muone kama hamjafa kwa njaa wote.
ona ulivyo kiazi, yess itakuwa digit ndogo zaidi.

mnaibiwa, bajet kubwa ya uchaguzi na bado mnautumia kuuana. poor you kunyans.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app

Ikiwauma zaidi ya hapo, munaweza kibilia wembe mumeze..
 
Election inacost only 15billion Kenya shilling,
Kwani tz ni Burundi?
Kenya mna bajeti za ajabu duniani. Unalenga jutumia bilion 26, lakini uhalisia unatumia bilion 10, 16bil zinaliwa na majizi ya kenya wazee wa pen moja kununuliwa ksh 500
 
Back
Top Bottom