KENYA: Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu. Mishahara, madeni ya wafanyakazi na kikokotoo ndani

Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya,
👇👇
====
View attachment 2978368
" Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;-

1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,

2. Kuimarisha usambazaji umeme vijijini, eneo ambalo pia Tanzania ni moja ya nchi bora zaidi kwenye ukanda huu wa bara letu,

3. Kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama, na

4. Kuanza kwa miradi mikubwa ya kudhibiti mafuriko hasa katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo mpango wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ili kudhibiti mafuriko ya mara kwa mara (Msimbazi Basin Development Project).

Katika hotuba yangu nimesisitiza kuwa na sera bora za kifedha toka mashirika ya kimataifa kwa bara letu, zenye masharti na gharama nafuu, zinazotazama kuongeza uwekezaji katika kukuza rasilimali watu na teknolojia na kujikita zaidi katika kukuza uwezo wa kuongeza idadi ya mipango inayotekelezwa kati yake na nchi washiriki"

Pamoja na hayo pia ametuma salamu zake za meimosi kwa Watanzania,

Hivi ndivyo alivyosema
,👇👇
View attachment 2978370
"Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa, hadi daktari anayehakikisha tunapata tiba pale tunapokuwa na changamoto ya maradhi. Tunawashukuru nyote katika kila kona ya nchi yetu. Ahsanteni kwa kazi.

Jambo la pili, leo pia ni siku ya kurudia ahadi yetu kwenu. Ahadi ambayo kila wakati tumekuwa tukiitoa na kuitekeleza kadiri tuwezavyo. Ahadi kwamba kama Serikali tutaendelea kutekeleza jukumu letu la msingi kuhakikisha mazingira ya kazi yanazidi kuwa bora zaidi kwa kila mmoja si tu mishahara, bali pia haki katika maeneo ya kazi, kupanda madaraja kwa wakati, kupata stahiki sahihi na uboreshaji wa mifumo yetu ya pensheni."
Mishahara✓
Kikokotoo✓
Madeni✓

Sasa Wafanyakazi mnataka nini?
 
1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,
Katika hili kama tz inamifumo bora zaidi basi Afrika bado sana.
Naona bado utapia mlo,upatikanaji wa dawa haujaridhisha,wajawazito kutembea na marambo yaliyosheheni vifaa vya kujifungulia.
Elimu hata ya unyonyeshaji bado haijakaa sawa.
 
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya,
👇👇
====
View attachment 2978368
" Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;-

1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,

2. Kuimarisha usambazaji umeme vijijini, eneo ambalo pia Tanzania ni moja ya nchi bora zaidi kwenye ukanda huu wa bara letu,

3. Kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama, na

4. Kuanza kwa miradi mikubwa ya kudhibiti mafuriko hasa katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo mpango wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ili kudhibiti mafuriko ya mara kwa mara (Msimbazi Basin Development Project).

Katika hotuba yangu nimesisitiza kuwa na sera bora za kifedha toka mashirika ya kimataifa kwa bara letu, zenye masharti na gharama nafuu, zinazotazama kuongeza uwekezaji katika kukuza rasilimali watu na teknolojia na kujikita zaidi katika kukuza uwezo wa kuongeza idadi ya mipango inayotekelezwa kati yake na nchi washiriki"

Pamoja na hayo pia ametuma salamu zake za meimosi kwa Watanzania,

Hivi ndivyo alivyosema
,👇👇
View attachment 2978370
"Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa, hadi daktari anayehakikisha tunapata tiba pale tunapokuwa na changamoto ya maradhi. Tunawashukuru nyote katika kila kona ya nchi yetu. Ahsanteni kwa kazi.

Jambo la pili, leo pia ni siku ya kurudia ahadi yetu kwenu. Ahadi ambayo kila wakati tumekuwa tukiitoa na kuitekeleza kadiri tuwezavyo. Ahadi kwamba kama Serikali tutaendelea kutekeleza jukumu letu la msingi kuhakikisha mazingira ya kazi yanazidi kuwa bora zaidi kwa kila mmoja si tu mishahara, bali pia haki katika maeneo ya kazi, kupanda madaraja kwa wakati, kupata stahiki sahihi na uboreshaji wa mifumo yetu ya pensheni."
Tunakuelewa Mama yetu,
Piga kazi tuko na wewe
Kikokotoo kiwekwe sawa tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Okay=sawa

Ninachompendea Samia hakati tamaa na hapa kwenye diplomasia kashaurika vizuri✊
 
1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,
Kama sisi ndio bora basi wengine wana kazi..., sio hivi karibuni tu hapa watu wamekuwa wakija juu kuhusu NHIF na Bima inavyowasumbua na watoto wengine kunyofolewa
2. Kuimarisha usambazaji umeme vijijini, eneo ambalo pia Tanzania ni moja ya nchi bora zaidi kwenye ukanda huu wa bara letu,
Achana na vijijini hata mijini tumekuwa na tatizo la umeme yaani badala ya kusambaziwa umeme tunasambaziwa giza
3. Kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama, na
Mabomba wengine yameshakuwa kama mapambo
4. Kuanza kwa miradi mikubwa ya kudhibiti mafuriko hasa katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo mpango wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ili kudhibiti mafuriko ya mara kwa mara (Msimbazi Basin Development Project).
Hili ndio linalofanyika yaani Miradi ndio imekuwa MIRADI bandika bandua pesa yanamwagwa kwa hadithi nyingi kinachofanyika hakieleweki Refer Makamba na usukaji wa Tanesco upya ni Mabilioni mangapi yalikwenda...
 
Simpendi huyu bibi mimi hovyo kabisa yaani anauza bandari zetu na kuzurura tu shame on you kibibi gagula
 
Blaah blaah blaah
Ahadi zisizotekelezeka ndo utamaduni wa CCM
Ukiwa mtumishi wa Umma hasa local government,halafu ukayaamini hayo,utakuwa zuzu,aliyeuziwa kichupa akaondoka anacheka akidhan ni dhahabu,Aliwahi sema hayati Julius Kambarage wakati Fulani.
 
Tangu Rais Samia aingie madarakani mishara na madaraja mbalimbali yameongezeka unajua hili?
 
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya,
👇👇
====
View attachment 2978368
" Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;-

1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,

2. Kuimarisha usambazaji umeme vijijini, eneo ambalo pia Tanzania ni moja ya nchi bora zaidi kwenye ukanda huu wa bara letu,

3. Kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama, na

4. Kuanza kwa miradi mikubwa ya kudhibiti mafuriko hasa katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo mpango wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ili kudhibiti mafuriko ya mara kwa mara (Msimbazi Basin Development Project).

Katika hotuba yangu nimesisitiza kuwa na sera bora za kifedha toka mashirika ya kimataifa kwa bara letu, zenye masharti na gharama nafuu, zinazotazama kuongeza uwekezaji katika kukuza rasilimali watu na teknolojia na kujikita zaidi katika kukuza uwezo wa kuongeza idadi ya mipango inayotekelezwa kati yake na nchi washiriki"

Pamoja na hayo pia ametuma salamu zake za meimosi kwa Watanzania,

Hivi ndivyo alivyosema
,👇👇
View attachment 2978370
"Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa, hadi daktari anayehakikisha tunapata tiba pale tunapokuwa na changamoto ya maradhi. Tunawashukuru nyote katika kila kona ya nchi yetu. Ahsanteni kwa kazi.

Jambo la pili, leo pia ni siku ya kurudia ahadi yetu kwenu. Ahadi ambayo kila wakati tumekuwa tukiitoa na kuitekeleza kadiri tuwezavyo. Ahadi kwamba kama Serikali tutaendelea kutekeleza jukumu letu la msingi kuhakikisha mazingira ya kazi yanazidi kuwa bora zaidi kwa kila mmoja si tu mishahara, bali pia haki katika maeneo ya kazi, kupanda madaraja kwa wakati, kupata stahiki sahihi na uboreshaji wa mifumo yetu ya pensheni."
kitaifa na kimataifa daima tunakuombe kwa Mungu, ndugu Rais comrade Dr Samia Suluhu Hassan 💪

well done Mama 🐒
 
kujikita zaidi katika kukuza uwezo wa kuongeza idadi ya mipango inayotekelezwa kati yake na nchi washiriki"
Miaka 64 tangu tupate uhuru bado mnajikita lakini hali ya maisha ni tete.
Viongozi wa nchi kutembeza bakuli kila iitwapo leo.

CCM ni janga!
 
Google; African countries with the best electricity access. Kuna nchi like Mauritius, Egypt, Morocco, Tunisia wamegonga 100% hadi vijijini. Algeria, Botswana, Ghana, SA pia wako juu sana.

EA wanaongoza Kenya at 71%. Tz bado na ni juzi tumetoka kwenye crisis ya kutisha!
 
Akili kubwa ndio zilivyo
Mmmmh!
Acha kumsingizia bhn, hata ukisikiliza hotuba zake huoni maono yake yeye kama mkuu wa nchi, huoni maarifa ktk kutatua changamoto hata kuibua fursa mpya za kimaendeleo kwa wananchi wake.
Kiukweli, mama anaonekana anategemea sn mambo ya kuambiwa/kushauriwa!.
 
Back
Top Bottom