Kenya: Bodi ya Filamu yaharamisha Filamu zote zenye maudhui ya Mapenzi ya Jinsia Moja kuonyeshwa Nchini humo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,029
1,646
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji wa Filamu (KFCB) Christopher Wambua amesema kuwa filamu zote zenye Maudhui ya Mahusiano au Mapenzi ya Jinsia moja, maarufu Kama LGBTQ+ ni kinyume cha Sheria nchini humo

Amesema msimamo wao siku zote umekuwa ni Kuzuia na Kutotangaza, Kuonyesha au Kusambaza na Kumiliki aina hiyo ya maudhui ndani ya mipaka ya Nchi

Hatua hii ni Mwaka mmoja baada ya KFCB kuifungia filamu ya I am Samuel, kwa kukiuka Kifungu cha 165 cha Kanuni ya Adhabu inayoharamisha ushoga Nchini humo

………..

Acting CEO of the Kenya Film Classification Board (KFCB) Christopher Wambua has said that all films containing LGBTQ+ content are illegal in Kenya.

Speaking on Friday, Wambua said that Kenyan law does not allow LGBTQ+ content and relationships.

"As we rate and classify content, we also consider other applicable laws. If there is any content that normalizes, glorifies same-sex relationships, our position in Kenya has always been to restrict and not to broadcast, exhibit or distribute that kind of content within the borders of the country," he said in an interview with Spice FM.

Wambua added that signed partnerships outside Kenya have restricted the viewership of the content within the country.


He said that they have banned a number of movies produced in Kenya that had LGBTQ+ content in the past years.

This is one year after KFCB banned a 52-minute film, I am Samuel, citing a homosexuality theme.


KFCB said the film violated Article 165 of the Penal Code that outlaws homosexuality, as well as the provisions of the Films and Stage, Plays Act Capp 222 of the laws of Kenya.

"For the avoidance of doubt, restricted in this case means that the film is prohibited from exhibition, distribution, possession or broadcasting within the Republic of Kenya," the Board emphasized.

Source: The Star
 
Back
Top Bottom