Kenge.

kenge...anapenda sana kuishi bwawani

.

Saint Ivuga namuaminia jembe hilo hawezi kushindwa..au vipi kamanda wangu...!!!

jamaa si unaona hana lolote eti anajifanya kuniharibia kwanza kwa mtoto..namalizia kilaji hapa stay tuned
 
Oh, really? Do you like it (that she is in front of you)?

and i keep asking her wats ya name...and i heard and angel voice sound like birds singing replied to me "my name is mwali" ima about to faint right now...
 
Ukifunguka sana tunahamia mambo ya kikubwa, usiwe na wasiwasi.
Nilikua kule freestyle nawafundisha watoto kuongea.
Ngoja tuendelee, tulikua wapi?

ayaaa..hivi kumbe kule kwenye lile jukwaa unaruhusiwa kufunguka jinsi unavyotaka.
 
"kwenye msafara wa mamba na kenge wamo" unajua unapomwita mtu kenge haimaanishi sasa huyo mtu ameota mkia na akiwa anatembea anaburuza mkia, hapana sio hivyo! Ila unamaanisha ni kenge ndani ya msafara wa mamba... Lakini kama vipi kama mtu hapendi kuitwa kenge haina shida... Lakini kenge sio tusi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom