Keko Machungwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
18294402.jpg
 
Watoto wa uswazi usipofanya hivyo watachezea kutwa.
Gwangambo badala ya kusoma comment yako, nimebaki kukodolea macho hiyo avatar na signature yako. Najaribu kupata picha wanja wa pilipili ukiyeyukia machoni inakuwaje! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama mpaka leo huduma kama hii bado inatiwa kufuli namna hii basi we still have a long way to go kwa pande zote mbili, muhudumu au muhudumuwa...inaonyesha kuwa kuna mmoja hajastaarabika bado..
 
Maji anasa wewe kunywa kuoga kupikia kwa kipimo, yani kama hela tu invyolindwa tena hii ilindwe zaidi si uhai!
 
Gwangambo badala ya kusoma comment yako, nimebaki kukodolea macho hiyo avatar na signature yako. Najaribu kupata picha wanja wa pilipili ukiyeyukia machoni inakuwaje! Lol!
mwaJ, Huo wanja umeshayeyuka, ona vilio kwa waTZ, Chezea ****** weye! ukifikicha macho inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Maji anasa wewe kunywa kuoga kupikia kwa kipimo, yani kama hela tu invyolindwa tena hii ilindwe zaidi si uhai!

Mkuu huu mjadala tutauendeleza baadaye hapa nilipo nasherehekea jana nimeongeza cheti kingine katika CV yangu(graduatad)Lakini lazima ukubali kuwa kama hatutastaarabuka basi huduma muhimu kama maji itabakia kutiwa kufili milele huko kwetu...
 
Ni kweli mkuu Wa Tz wengi bado hatujastaarabika. Mifano Public utilities utakuta mtu kaandika ukutani kwa mikono akitumia kinyesi, Uwanja wetu mpya wa mpira watu wanang'oa viti, kukuta kinyesi kimewekwa katika mfuko wa rambo na kutupwa pembezoni mwa njia, n.k. Kwa Uswahilini hiyo ni sawa tu, Uswahilini kugumu. Ukweli bado tuna safari ndefu kuelekea USTAARABU ULIOTUKUKA.
 
Afadhali wewe mkuu Sambwisi umenielewa na like nimekugongea hapo, wacha mimi nijifungulie Jack Daniels yangu iliyomuua Kanumba na nijipongeze na zilipendwa zangu hapa.Lakini ukweli utabakia palepale kuwa,kama hatutastaarabika basi tutabakia palepale kwenye maji kutiwa kufuli na hadithi za kudanganyana eti mabomba ya Ulaya yanatoka
maziwa.Sasa hebu tizama mtu na akili zako kweli unaweza kushika kinyesi kupaka ukutani?Mkuu naomba nisaidie katika kazi hii ya kuwaelimisha ndugu zetu,hata ukimwambia mmoja anatosha.Ila tatizo lao sasa ukiwaambia wanasema unajidai eti umesoma tuna safari ndefu sana mkuu......
 
Last edited by a moderator:
Watoto wa uswazi usipofanya hivyo watachezea kutwa.

machungwa huwezi pata nafasi iliyo wazi kiasi hiki, hapa ni police barracks. hawa polisi hawataki kushirikiana na wananchi wanao wazunguka. sasa hivi wamezungushia na fensi ya michongoma. hata kama mlango wa raia unaangalia polisi basi michongoma inapandwa mlangoni.
 
hyo noma mpaka maji jamani wakati ni huduma muhimu hayo mambo ya muafaka tu katika kulipa bill ingawa inaumiza kulipa peke yako wengine wawe wanachota tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom