Keeping husbands safe

Hii kali sasa hao watakuwa ni masoul mate au soul tight. hapo wanaonyesha msisitizo wa mimi na wewe mpaka kifo to the next level. Hata kikombe hapa hakitasaidia
 
Aisee nimecheka hadi nikadondoka...
Hii haiaplai kwa wanaume kulinda wake zao pia?
 
Duh hii hata ikija kwetu haitasaidia jinsi watu walivyo vichwa ngumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom