Keep up the flame in your relationship.....

Not thaaaaaat boring, We love you sistos,
mimi nimetoa a perfect example ya to keep the flame burning katika uhalisia.........In that list, there are definite things that I don't enjoy, but my spouse will enjoy if i will let it happen he way.......that's when i can have half of that evening or day to enjoy as well without ever let her feel i don't enjoy walking bare foot in the beach for example.....i will walk bare foot with my glass of Malibu of-cause.

hahahah.....haya bana!
 
Biggy halafu usimsogelee sana teamo kuna dalili za papers zako kuhamia kwake
 
aisee na wewe fanya mchakato hizo pesa zako ZIHAMIE KWANGU:llama::llama:

Unatoa kwa GY..unahamishia kwa TEAMO....unakeep the flame in your relationship, unabreak the heart
 
HA HA HA HA HA!
mtihani huo.....!ingawa katiba inahitaji mabadiliko so far

hapo ndio unasibitisha kwamba mens are naturally polygamous, huu mpango wa kusubiria miezi miwili baada ya kupata ka junior ndio upewe mgao wa tanesco tena, ni guantanamo bay tosha kabisa.

dah kumbe niko ofu topik. sore smiles. sirudii tena baada ya post hii
 
  • Cook dinner together. Whipping up your favorite dishes together and then eating them by candlelight... Great times involves great food!!

Kule Bunju jikoni anaingia mtu mmoja mmoja - vyombo tunafutia sebuleni (kazi ya kwanza ya HG) - Well kwasababu ya mgao wa umeme tunatumia mishumaa..


  • Have a bath together.....:tape2::tape2: Relax....talk to eachother....it helps!!

Bafu hatuwezi kuingia watu wawili na hata mmoja akiingia anakuwa anagusa ukuta wakati anachota maji kwenye ndoo na kopo

  • Read to each other....a romantic novel shall do!
Giza - Umeme unarudi saa tano usiku

  • Book an overnight stay at an expensive hotel. Eat at a fancy restaurant, do a couples massage, and sleep in a soft bed with luxurious sheets. It may cost some, but it is worth it.

Sina cha kuongeza hapo - Kula nyama ya kuku ni Jumapili tu

  • Walk at the beach...barefoot! talk about nothing....could be very romantic!

Coco-beach ni mbali sana kutoka Bunju- halafu ni kuchafu sana - ukitembea bila viatu unaweza kuwa unatafuta kulazwa Ocean Road

  • Go out dancing. Go to a local disco, jazz hall or dance club and spend the evening dancing. There is nothing more romantic than being able to hold the one you love close to you...and trust me its feels really good!!

Sehemu pekee ya kucheza Muziki ni baa - FAIR WAY - sehemu ya kuchezea ni sawa sawa na ukubwa wa karo la kuoshea vyombo

  • Do something new. The beauty of romance is tied closely to adventure. For a romantic evening, do something that the two of you have never done before.

Tumeshafanya kila kitu kilichokuwa ndani ya uwezo wetu

  • Watch the stars. If you have a balcony, a terrace or a patio, spend some time lounging out there and watching the stars....cant explain the feeling but its very relaxin!

Kwenye veranda ndiyo sehemu Mama Mkwe na watoto na HG wanakaa jioni - yaani ndiyo sebule

  • Do nothing. Sometimes, just hanging out and just going with the flow is the best way to spend a romantic evening. Let everything be spontaneous and see where it gets you.

Ni kweli siku moja moja huwa natoka na Mama E kwenda vigae/kibira kupata serengeti baridi
 
this is not chatroom you have been warned! Acha tupate majournals ya ki west west hapa!

ngoja na wewe ukija kila kitu cha kwako kitaenda kwa "chuma ulete teamo" shauri zako dont say i didn't warn you
 
unachotaka kusema ni kuwa....huwezi kwenda dancing na mwenzi wako?? bath together, cook together, read or spend a day at the beach...?
Kama ni hivyo basi u must have a boring life....coz thats where all the fun is!

Na mabafu yetu yakuchungulia juu, jiko la kushare na wapangaji 6 si kashfa mtaani hii?
 
Na mabafu yetu yakuchungulia juu, jiko la kushare na wapangaji 6 si kashfa mtaani hii?

OK....si lazima u-apply vyote hapo juu<
kama kimoja hakiwezekani unaweza kujaribu kingine.....
 
Asubuhi mlikua wote shambani mnapalilia jioni mrudi kuyaangalia mmeshikana mikono..!! hahaha
Hahahahah!! Well u can do some of these things bt not all, this season for example, traffic is light and we leave for work together, also comes home early enough to spend some time with the kids..wamefunga shule, I can't say what we r doing is romantic but it does lightup tht flame and it makes us share a lot from and to work...
 
Back
Top Bottom