KCMC na logo ya nyoka!

Freemason wamesema katika makanisa yetu haya toa gamba la kwanza,la pili,la tatu,la nne,na hata la tano,la sita utawakuta.Usitishike na jina la Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania,hamna kitu, wamekamatwa hao.Kutumia nembo yenye nyoka inadhihirisha wazi affiliation yao.Akili kichwani.
Nimekuwa nikijiuliza logo ya hospitali yetu kubwa kabisa ya rufaa hapa Moshi ijulikanayo kama KCMC jinsi inavyoonekana kuwa na picha kubwa ya nyoka akiwa juu ya mlima kilimanjaro akiangalia chini nashindwa kupata majibu?!navyojua nyoka ni ALAMA YA KISHETANI.nabaki najiuliza maswali yafuatayo:
1. ina maana taasisi kubwa kama hizi nazo ni FREEMANSONS?
2.ina maana taasisi kubwa kama hii inaendeshwa na nguvu za shetani?!
3.kama inaendeshwa na nguvu za kishirikina ina maana wote tunaotibiwa
pale tunaziacha nyota zetu,baraka na uhai wetu pale ili kila mara tuwe
tunaugua na kurudi kutibiwa pale mara kwa mara?!
4.ina maana makanisa ni part ya ushirikina kwa kuwa na nembo ya nyoka?!maana KCMC ni ya kanisa!!
5.Kama kweli KCMC ni mshirika wa shetani,tufanyeje jamani!!!tumeshaangamia wangapi!!

Kitu kingine kinachonishtua ni pale unapofika pale KCMC unalazimishwa kusema DINI yako hata kama huna dini au hata kama UMEOKOKA maana yeyote aliyeokoka(wengi wao)hawana dini,but unaposema huna dini inakuwa tabu,ukisema ni mkristu bado hawataki wanataka dini,why dini?!!mimi naumwa nataka matibabu wewe umeng'ang'ana nikutajie dini wapi na wapi jamani..bila kusema dini yako hupati matibabu.

Kingine ni jina la ukoo.nimekwenda pale nikawatajia jina langu DAUDI ISRAEL ELIA .kwa hiyo jina la ukoo ni ELIA.wao wakakataa eti ELIA sio jina la ukoo na halitaonekana kwenye computer,nitafute jina lingine la ukoo niwaambie ili waniandikie nimuone dokta!!nikabaki nimeduwaaaaaa hivi wao ndo wananichagulia jina la ukoo?mimi ndo ninayejua jina la ukoo wangu,then wao wanalazimisha nitafute jina lingine la ukoo..jamani haya yoote ya nini?!nahisi kuna kitu...nachohisi ni UOVU unaokamatiwa na majina ya UKOO kama akina Massawe,Muro,Maro n.k.,maana haingii akilini mtu kulazimishwa kubadili jina la ukoo wako ili eti liweze kukaa kwenye computer!!!am gutted! mnisaidie

Alama ya nyoka inaonyesha uwepo wa maji. Maji ni uhai, hivyo alama ya nyoka kwenye logo za hospitali ni kutoa matumaini ya uhai kwa wagonjwa
 
Unahitaji elimu,elimu,elimu. Acheni hizi story za vijiweni kuhusu freemasons,illuminati etc,etc
 
moz-screenshot.png
moz-screenshot-1.png
moz-screenshot-2.png
View attachment 24014nimesha wahi kujiuliza kuhusiana na hii habari ya nyoka na msalaba kwenye mahospitali yetu sikupata jibu, naona ni wengi inawachanganya, hii ni alama mojawapo nilipata marangu hospitali.

Mbona wagumu kuelewa mnapoelekezwa
Nyoka=uponyaji
msalaba=huduma
Ndo mana hata box la huduma ya kwanza linakuwa na alama ya msalaba
 
Kaka una jina la ukoo ,umekurupuka kama ulivyokurupuka kuleta mada ambayo hukuifanyia utafiti.Kimsingi mtu ana majina matatu;la ukoo,la kati na la kwanza.Hakuna ukoo wa kiafrika una jina la Elia nahisi umetumia jina la babaako Elia kama ukoo.Nenda kamuulize vizuri atakuambia .Kuhusu dini nadhani sababu ile ni taasisi ya kidini wanaweza wakawa wanafuatilia jamii ya aina gani wayoihudumia
 
nenda kwenye pharmacy yoyote ile jaribu kumuuliza pharmacist aliyeko akupe uhusiano wa alama ya nyoka na matumizi yake katika nembo nyingi kwenye mahosipitali na viwanda vya madawa.utapata jibu zuri sana ndugu yangu.usiwe mwepesi kuamini mambo mabaya kwenye kila lililobaya kwako,superstition iz the timids of mind.kuna wanaowinda nyoka kama kitoweo bora kuliko vyote kwa upande wao,vipi hao utawaita wachawi au freemasons?! NO RESEACH NO WRITE TO SPEAK.

NO WRITE TO SPEAK OR NO RIGHT OF TYPING. U meant that attachment iko in form of audio or form of notes..
 
Dracunculus medinensis ambayo kuitoa inabidi kutumia kijito
This method of wrapping the worm around a stick or gauze is speculated to be the source for the Rod of Asclepius, the symbol of medicine.
 
Nimekuwa nikijiuliza logo ya hospitali yetu kubwa kabisa ya rufaa hapa Moshi ijulikanayo kama KCMC jinsi inavyoonekana kuwa na picha kubwa ya nyoka akiwa juu ya mlima kilimanjaro akiangalia chini nashindwa kupata majibu?!navyojua nyoka ni ALAMA YA KISHETANI.nabaki najiuliza maswali yafuatayo:
1. ina maana taasisi kubwa kama hizi nazo ni FREEMANSONS?
2.ina maana taasisi kubwa kama hii inaendeshwa na nguvu za shetani?!
3.kama inaendeshwa na nguvu za kishirikina ina maana wote tunaotibiwa
pale tunaziacha nyota zetu,baraka na uhai wetu pale ili kila mara tuwe
tunaugua na kurudi kutibiwa pale mara kwa mara?!
4.ina maana makanisa ni part ya ushirikina kwa kuwa na nembo ya nyoka?!maana KCMC ni ya kanisa!!
5.Kama kweli KCMC ni mshirika wa shetani,tufanyeje jamani!!!tumeshaangamia wangapi!!

Kitu kingine kinachonishtua ni pale unapofika pale KCMC unalazimishwa kusema DINI yako hata kama huna dini au hata kama UMEOKOKA maana yeyote aliyeokoka(wengi wao)hawana dini,but unaposema huna dini inakuwa tabu,ukisema ni mkristu bado hawataki wanataka dini,why dini?!!mimi naumwa nataka matibabu wewe umeng'ang'ana nikutajie dini wapi na wapi jamani..bila kusema dini yako hupati matibabu.

Kingine ni jina la ukoo.nimekwenda pale nikawatajia jina langu DAUDI ISRAEL ELIA .kwa hiyo jina la ukoo ni ELIA.wao wakakataa eti ELIA sio jina la ukoo na halitaonekana kwenye computer,nitafute jina lingine la ukoo niwaambie ili waniandikie nimuone dokta!!nikabaki nimeduwaaaaaa hivi wao ndo wananichagulia jina la ukoo?mimi ndo ninayejua jina la ukoo wangu,then wao wanalazimisha nitafute jina lingine la ukoo..jamani haya yoote ya nini?!nahisi kuna kitu...nachohisi ni UOVU unaokamatiwa na majina ya UKOO kama akina Massawe,Muro,Maro n.k.,maana haingii akilini mtu kulazimishwa kubadili jina la ukoo wako ili eti liweze kukaa kwenye computer!!!am gutted! mnisaidie

Naomba niweke sawa kuhusu Logos za taasisi mbalimbali. kila taasisi kulingana na field yake. Field zote za medical and pharmacy logos zake huambatana na nyoka katika designs zake. Tusikariri kuwa nyoka inawakilisha shetani.
 
ndugu yangu nakushauri yafuatayo kufuatia hii thread uliyopost.
1. Unatakiwa uelewe maana ya freemasons
2. uelewe maana ya nyoka kibiblia
3. uelewe maana ya nyoka kisayansi sana sana field ya medicine
4. ufanye research kwanza kabla ya kutoa matamshi mazito hasa kulaumu taasisi au kundi fulani la watu. "no research, no right to speak"
5. uelewe maana ya ushirikina
6. uelewe maana/sabau ya kuulizwa dini, jina la ukoo unapoenda hospitali yoyote duniani/kwenye hili taifa

Kwa hayo sasa nikupe ninachokifahamu kuhusu yote uliyokuwa unalaumu:
1. Nyoka kwenye nembo za mahospitali au taasisi zinazo husiana na afya:
- Nyoka yule aliyewekwa pale ametokana na ugonjwa unaoitwa Dracunculiasis an infection with Dracunculus medinensis, a nematode worm. huyu mnyoo unasababishwa na kunywa maji yaliyo na vimea vya hawa minyoo. matibabu yake yalikuwa ni kuchukua mti/kijiti na kumzungushia huyu mnyoo aliye mguu hadi anachomoka. ndo maana ukiangalia logo nyingi zina mti aliyezungushiwa huyu nyoka.
dracunculiasis.jpg

picha ya chini ndo ugonjwa wenyewe, na jinsi mnyoo unavyoonekana.
View attachment 24013

2. Dini yako:
- kuna baadhi ya magonjwa/matatizo ya kiafya yanahusiana na dini
3. Ukoo wako:
- wanatengeneza database kwenye hospital medical records, sasa ukiulizwa majina yako matatu muhimu sana ndg yako...ulipoulizwa ELIA ndo jina la ukoo akabisha ni kweli.
kwenye hospital cards: SURNAME.......(JINA LA UKOO/FAMILIA), FIRST NAME.........(JINA LA MWANZO), OTHER NAMES...........(MAJINA MENGINE)
Ukoo unasaidia kuweka records zako ndg

Nawakilisha...
Watanzania ukitaka kuwaficha maarifa wewekee kwenye maandishi. Tumekuwa wa kulalamika tu hatutaki kufanya utafiti wala kusoma vitabu kidogo tu. Mtu ana simu ya Android anakimbilia kulalamika hapa JF laiti angeingia google angepata maarifa ya kumtosha. Ndugu umeelezea vizuri sana kuhusu nyoka na huo mti aliyojizungusha juu yake.
 
Unalalamika ubaguzi uliotendewa na KCMC lakini na wewe unachambua nembo ya KCMC katika mantiki ambayo ni ya kibaguzi!!!!!!!!!! Upo kama una kaudini ndani ya moyo wako lakini unakaficha na kukapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Wivu tu kwa vile KCMC ni Christian institution na iko mkoa Wa Kilimanjaro
Anatamani ingejengwa kwao
 
ndugu yangu nakushauri yafuatayo kufuatia hii thread uliyopost.
1. Unatakiwa uelewe maana ya freemasons
2. uelewe maana ya nyoka kibiblia
3. uelewe maana ya nyoka kisayansi sana sana field ya medicine
4. ufanye research kwanza kabla ya kutoa matamshi mazito hasa kulaumu taasisi au kundi fulani la watu. "no research, no right to speak"
5. uelewe maana ya ushirikina
6. uelewe maana/sabau ya kuulizwa dini, jina la ukoo unapoenda hospitali yoyote duniani/kwenye hili taifa

Kwa hayo sasa nikupe ninachokifahamu kuhusu yote uliyokuwa unalaumu:
1. Nyoka kwenye nembo za mahospitali au taasisi zinazo husiana na afya:
- Nyoka yule aliyewekwa pale ametokana na ugonjwa unaoitwa Dracunculiasis an infection with Dracunculus medinensis, a nematode worm. huyu mnyoo unasababishwa na kunywa maji yaliyo na vimea vya hawa minyoo. matibabu yake yalikuwa ni kuchukua mti/kijiti na kumzungushia huyu mnyoo aliye mguu hadi anachomoka. ndo maana ukiangalia logo nyingi zina mti aliyezungushiwa huyu nyoka.
dracunculiasis.jpg

picha ya chini ndo ugonjwa wenyewe, na jinsi mnyoo unavyoonekana.
View attachment 24013

2. Dini yako:
- kuna baadhi ya magonjwa/matatizo ya kiafya yanahusiana na dini
3. Ukoo wako:
- wanatengeneza database kwenye hospital medical records, sasa ukiulizwa majina yako matatu muhimu sana ndg yako...ulipoulizwa ELIA ndo jina la ukoo akabisha ni kweli.
kwenye hospital cards: SURNAME.......(JINA LA UKOO/FAMILIA), FIRST NAME.........(JINA LA MWANZO), OTHER NAMES...........(MAJINA MENGINE)
Ukoo unasaidia kuweka records zako ndg

Nawakilisha...
Sawa mkuu,na kwanini huwa kwenye mahospitali mengi wanauliza kabila?
 
Alama ya nyoka ina historia ndefu sana. Kihistoria hasa ilianzia pale Waisraeli walipoasi kule jangwani na Mungu akawaadhibu kwa pigo la kugongwa na nyoka. Musa alipokwenda kumwomba Mungu. Mungu alimwambia Musa atengeneze nyoka wa shaba na kumwinua na kila atakayemwangalia akigongwa na nyoka atapona. Alama ya nyoka katika kipindi hiyo haikuwa na uhusiano na shetani bali Mungu alitaka Waisraeli wamwamini kwamba yeye ndiye mponyaji. Na ni kwa imani tu watu wengeweza kupona. Tunaambiwa kwamba kuna watu walitazama nyoka yule wa shaba baada ya kugongwa na nyoka na kweli walipona, hata hivyo wapo ambao hawakutazama na kwa hakika walikufa. Hii inatufundisha kwamba kupona kwetu ni kwa imani na anayeponya ni Mungu pekee. Ndiyo maana Yohana sura ya 3:14 Yesu anasema, "Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye." Logo hii ilianza kutumika katika mahospitali ya uingereza wakati ule wa tauni. Logo hii iliwapa watu imani kwamba aponyae ni Mungu kama vile alivyofanya kwa Waisraeli kule jangwani. Hivyo ndugu yangu usiwe na wasi wasi, nyoka aliyeko kwenye logo hana uhusiano na mashetani bali ni nembo ya uponyaji kutoka kwa Mungu.
 
Umetisha mkuu. It is more than excellent answer. Kqmq asipoelewa basi ni taahira au ana majibu yake mwenyewe....
 
Back
Top Bottom