kazi

ALICETH

New Member
Apr 15, 2010
1
0
am happy to get a website which is friendly my friends am looking for a job 1which will manage me am a logistic and supply chain lady
 
woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy

Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana
 
Barrick Bulyanhulu wanaajiri watu wa supply kama 10 hivi...kwenye wiki ijayo watatoa matangazo unaweza kuomba
 
Africa Barrick Gold Wametanga Nafasi Hizo Kumi Dar Office.Leo Jioni HII.See attachment
 
Attachments

  • Ads - Accountants.pdf
    165.6 KB · Views: 127
Hivi mbona Barrick wanatoa sana nafasi za kazi ni kwamba wanauhitaji sana au watu wengi wanaacha?
 
woh wewe tuko pamoja ... kwenye supply chain ..ngoja watu wakija hapa ndani watakusaidi mamy

Ila na wewe hata hujabisha hata hodi kule post ya kwanza una-looking for job ..karibu sana
Muonee huruma FL1 siyo yeye maisha yanapagawisha ndg yangu.!

ushawahi kuona mtu mwenye njaa akikaribishwa chakula.!
anaweza sahau kunawa mpaka kuomba kwa mungu kabla hajaanza kula hicho chakula.
 
Back
Top Bottom