Kazi za masharobalo

keshamharibia mtoto wa mwenzie afu anatoka nduki,utamu alishapata anakimbia uchungu
 
Eeeh, ujumbe umefika lakini wasichana huwa wanakosea kusema "nina mimba yako", hapo ndipo sharobalo anapo kataa na kukimbia kwa sababu yeye huwa hana mimba za kuwapa wanawake, wangekuwa wanasema "begu zako zimekwama tumboni"! Oh joke!
 
Ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi ha ha ha ha teh teh teh teh kwi kwi kwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom