Kazi ya ukonda wa treni wangepewa vijana wenye uzoefu na kazi hiyo

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Napongeza sana serikali kwa kuanza huduma ya Treni nafikiri kwa kiasi kikubwa itasaidia tatizo la usafiri jijini. Ila nafikiri kutokana na wingi wa abiria na vituo kuwa karibu karibu ni vizuri kuajiri vijana wenye uzoefu wa kukusanya nauli maarufu kama makonda, maana kwa tathmini niliyoona kuna wengi wanaweza kupanda bila kulipa nauli na kufanya shirika hilo lijiendeshe kwa hasara.
 
Unakaribishwa tuma maombi!
 
Nashangaa mnahitaji makonda? wekeni mashine moja kila mlango na kila anayeingia awe na nauli kamili. unaingiza pesa unapata tiketi na wawepo wakaguzi tuu. Hujafika kwa weupe nini? tujifunze
 
hayo ndiyo maneno kk
 
Back
Top Bottom